Mzalendo K
Member
- Jun 22, 2012
- 32
- 13
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..
Ndg.nikusahihishe kidogo hapo ktk red,baada ya neno CHAMA ulitakiwa uongeze CHA MAPINDUZI then ungemalizia na neno HEWA.Abbreviation yake inakuwa CCMH.:dance:Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..
Umejiunga leoleo ili ulete ujinga huu? kweli Nape amekosa watu. Hivi kwanini asiwe anawafanyia usaili kabla hajawaajiri?Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..
Hilineno Dhaifu, machizi, wapuuzi ni la wana CCM wote ndiyo maana unaweza kuanzisha thread dhaifu kama hii.............
baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, ccm itakuwa imevunja rekodi ya kuwa chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe chama cha mapinduzi hewa!!..{ccmh}. Bahati mbaya sanaccmh kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..
Mkubali tu kuwa mnatoa too much foul hot air inayowaharibu ninyi wenyewe.
Wonderboy wenu Zitto pamoja na madigirii marefu ameshindwa hata mahali pa kuanzia kuandika bajeti mbadala.
Tulishasema CDM ni genge la wafanyabiashara wasiojua hata kulipa kodi na jinsi inavyokusanywa.
Mnakula kodi zetu za bure tu Bungeni.