Mashushushu wa JF

Mniombee kwa kweli, watu wana mafile yetu alafu wapo busy kulewa πŸ˜‚

Mjukuu jifunzeni kuwa na vifua, mtatuua babu zenu walahi

Nasubiri kwa hamu hilo koti kwa kweli πŸ˜‰
Babu mi kifua ninacho hata ukiaga unaenda kwa bibi yule mdogo

mi sisemi najua tu babu najaribu kilimo kipya sio kila siku tikitiki maji mimaji teleeπŸ˜…πŸ˜…
 
Babu mi kifua ninacho hata ukiaga unaenda kwa bibi yule mdogo

mi sisemi najua tu babu najaribu kilimo kipya sio kila siku tikitiki maji mimaji teleeπŸ˜…πŸ˜…
Afadhali presha yangu itashuka sasa, maana nilivyoona ile juzi unamweleza waiter akuongeze Savannah baketi ya tatu, nikajua sasa niage tu gudubai πŸ˜‚
 
Kuna watu wametelekeza IDs humu kutokana na siri zao kuvuja/kuvujishwa

Wewe hadi unywe Jack Daniel ngapi ndiyo unalewa? Au hadi uchanganye na Kiko kubwa kama ya babu yako ndiyo unalewa πŸ˜‚
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mimi silewi nikinywa Jack Daniel hata mia sijui why labda sasa nijaribu kiko kama ya babuπŸ˜†πŸ˜†
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…