Mashushushu wa JF

baadhi ya AZAKI zilizochochea na zilizofadhili vurugu za Oct.2025,
waliwakusanya vijana na kuwafunza namna ya kufanya ugaidi na mwishowe wakawapatia vijana hao zana za kazi kama vile visu, mapanga, marungu, bastola na magobole ili wayatumie katika vurugu zile. Waliwapatia mpaka vifaa vya kupiga picha na video za unyama waliokua wanautekeleza.

Je,
baada ya uovu ule kudhibitiwa, kuna AZAKI inajutia kweli kwa kufadhili maafa yale yatokee kama alivyojuta mtengeneza AK47?
 
Sasa na nyie kwanin mjianike jamvini? Huo uzi kuna kipindi nilikuwa naushobokea nikaona unazua vita kuna kajamaa kalinifuata pm kujaribu kuniweka karibu nikajikata na uzi wenyewe nachungulia juu juu tu siku hizi nipo zangu majukwaa mengine.
Mimi cycle ya nje ya Jf inanitosha kabisa na sihitaji kufahamiana na yeyote humu.
 
Mdomo uliponza kichwa mkuuπŸ™„
 
Kwa hio mleta mada unajutia kuanzisha ule uzi?
Hata hivyo umekuwa kilio maumivu fedheha na kila maudhi kwa wengi , haswa kipindi cha hivi karibuni, hakuna alie kuwa active kwenye uke uzi ambae hakufikiwa.

Hata hivyo pamaja na utu uzima walio nao baadhi ya member pale selfika wana utoto mwingi pia.
 
Hatufanani mkuu,kupitia hili na lile kuna muda mambo yanaenda.Usiwadharau wanadamu wa jf,kuna watu tumenyanyuliwa kwenye changamoto na watu humu hata sura hatuwafahamu
 
Daaah!
 
Utoto ni mwingi mno.
 
Hako ka jamaa kalikua shushu nini 🀣
 
i'm sorry for truth gentleman
Hatupo kwenye siasa lakini ndugu yangu hamna uwezo wa kujisafisha na lile doa, lile ni jeraha lililo acha kovu la kudumu kwenu, hata mfanye nini hamtasafishika kamwe, hii si leo wala kesho au mtondogoo bali ni daima! Elewa daima.

Ila mkuu we piga kazi ndugu yangu, maisha si mepesi kabisa! Komaa hivyo hivyo maadam mkono uende kinywani , na kama unawategemezi mi nakuombea na kukutakia wepesi wa kazi yako na Mungu akufanikishe.
 
Daaah kilikuwa kijiwe chetu cha kuchit chat. Vidudu mtu sijui hata vilitokea wapi wakaharibu kila kitu. Ila jf ina viumbe jamaniπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Bro Kuna mtu anahitaji Mganga konki huko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…