Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Wana CDM wote: Ili kuweza fanya mikutano ya CDM kuwa salama na kupeleka ujumbe wa amani..Nigeshauri sana watoto na wanawake wawepokadiri wawezavyo.Kwani hadi sasa ndio mashujaa wakuu .Tunajua watoto si haba kwani kwa mtoto CHADEMA ni kitu kipo midomoni na rohoni.
Ni watoto mashujaa na juzi ilidhibitika...pamoja na unyama wa polisi na wapiga mabomu..watoto wa dini zote tena wakiwepo wa kiislam tofauti na propaganda chafu baada ya majukumu ya madrassa walipita kusikiliza yale yaliyotoka kwa wanasiasa wanaopenda kutoka chama wakipendacho sana.
Mchango wa watoto wanachadema miaka ya mbeleni na mashujaa tangu watoto na akina mama na dada wanahitaji kupewa moyo na kuenziwa sana.Leo hii wameuwawa pasipo kufanya shari kwa yeyote.Just because walikwenda wasikiliza watu na chama wakipendandacho.
Kwa watoto waliotoka madrassa "Pongezi kwa maalim/ustaadhi wao " pengine waliwafundisha mema kama si utashi pekee wa watoto hao.Walikwenda sikiliza wanasiasa wanaopenda ,wanasiasa ambao ni role models wao..Ingawa waoga na washenzi wakaamua wanyim ahiyo haki.wakaamua wavurugia ndoto yao waliyokuwa wanaiona kwa wanasiasa hawa.