ahsante mandella kwa ufafanuzi uliotukukaDr. KAFUMU NA VICKY KAMATA . HAWA NI RECENTLY...YUPO YULE MKUU WA WILAYA PIA
Dr. KAFUMU NA VICKY KAMATA . HAWA NI RECENTLY...YUPO YULE MKUU WA WILAYA PIA
Chadema Mbona mnahangaika sana
Ahsante MkuuAlikuwa mkuu wa wilaya ya Uyui-Tabora...!!
Utu uzima. Alijitoa sana kwenye kampeni, unakumbuka alipata mpaka ajali. So kwa sasa kajifunza kitu. Ile kauli ya MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU imemuingia sana.Nape amekuwa binadamu sana.
Wewe unamahaba na chadema ndio maana imefunga ndoa na ubongo wako, huchoki kuitaja wala kuiwaza,Chadema Mbona mnahangaika sana
Mkulu na Nape nani mtu mzima?Utu uzima. Alijitoa sana kwenye kampeni, unakumbuka alipata mpaka ajali. So kwa sasa kajifunza kitu. Ile kauli ya MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU imemuingia sana.
Hapana bali kamkata jongoo kwa meno fuatilia report ya kamati aliyoiunda na msimamo wake ! Wateuzi wa RC been put on spot kijanja janja na Nape yeye keshatimiza wajibu wake kazi kwa Pm na president kujipima tena !Nape kajiuzulu?
Hujakosea Mkuu huku vijijini kadi za CHADEMA zinauzwa kama njugu.Chadema Mbona mnahangaika sana
Weka akili yako vizuri ndg tueleze Daud alifuata niniWatanzania wachache mlioguswa na vita ya madawa mnakelele utadhani mnafika hata laki tano!msitusemee,tunamacho,masikio na akili za kuona nani anatufaa na nani anapiga zumari!tunajua mnataka ushindi wa kumg'oa Makonda ili biashara zenu ziendelee,Mshindwe kwa jina la Yesu!!!!!!