Hapa naangalia live mashujaa day ya kenya,
natamani na mimi ningekuwa mwana kenya.
leo wakenya wanatakiwa wawe proud sana,
nimeipenda organization yao sanaaaaaa
hongereni, japo naona wivu.
mashujaa kama mia hivi wamepita mbele ya jukwaa baada ya paredi.
wamepita walioipatie kenya heshima, wakiwapo walemavu, walioleta medali tangu medali ya kwwanza ya kenya!! hadi walioleta medali toka india juzi.
kwa kweli ni jambo linalounganisha nchi, tanzania lini tutapata forum nzuri isioingiliwa na siasa ya kuwaheshimu waote waliopita?
mimi nahisi labda tukibadilisha chama tawala kama wakenya ndio akili zetu za kizalendo zitarudi. sasa ni kugombania tu kwa propaganda za siasa kuingia ikulu.
Hongereni wakenya LEO!!!