Mashudu ya mbegu za michikichi yanapatikana

Mashudu ya mbegu za michikichi yanapatikana

Masasati

New Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
4
Reaction score
4
Hello, guys. Tunacho kiwanda kidogo kinachozalisha mafuta yatokanayo na mbegu za michikichi ziitwazo mbosa/mise. Katika uzalishaji huu tunapata pia mashudu. Mashudu (palm kernel cakes - PKC) yanapatikana baada ya kukamua mbegu kupata mafuta.

Mashudu haya yanafaa kuchanganywa na malighafi nyingine kama pumba na kuwa chakula kizuri sana chenye virutubisho muhimu sana kwa wanyama na ndege kama bata, kuku, nguruwe, mbuzi, ng'ombe n.k.

Kiasi cha protini ghafi (crude protein) kilichopo ni zaidi ya 18%, na hivyo kupelekea mashudu haya kufaa sana kama una mradi wa kunenepesha mifugo kama ng'ombe na nguruwe au mbuzi, kwani pia yana kiwango kizuri cha mafuta, na salama kwa afya ya mnyama.

Tunauza kilo moja kwa 900 TSH, hapa Mwanza mjini. Bei hii ni kuanzia gunia la kilo 100.
Mawasiliano - 0624534632
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom