Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,758
Mother Confessor usije ukagawa kitumbua cha Baba huku JF please mimi nitaenda kusema![emoji4][emoji4][emoji4]Kamoo
Mother Confessor usije ukagawa kitumbua cha Baba huku JF please mimi nitaenda kusema![emoji4][emoji4][emoji4]Kamoo
Sigawi hovyo kama "wale-wale" [emoji16][emoji16]hichi cha seeker pekeeeMother Confessor usije ukagawa kitumbua cha Baba huku JF please mimi nitaenda kusema![emoji4][emoji4][emoji4]
Mahaba niue...Kamoo
Umponde bibi kama nyanya,.Mahaba niue...
Nipo hapa chuma cha mjerumaniHellow wakuu,
kama kuna member wengine wanao tumia mkono wa kushoto kama mimi hapa, Jf tukutane hapa,
lengo ni kuwaonyesha hawa wanautumia kulia kama sisi mashoto ni watu wenye upeo mkubwa akilini, wenye mawazo chanya na pia watu tunaopenda sana na jamii kulio wao,
Kama kuna mashoto mwengine kama mm comment hapa tujuane
KushotoMnachambia mkono gani?
Kula natumia kulia, kazi nyingine natumia kushoto tuuMnakulaga ugali na mkono gani? Kama ni huo kushoto mmetisha