sweetlee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 4,050
- 14,770
Niko Pluto huku ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] Nakuja Dar unisimulie Sultan.
Niko Pluto huku ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] Nakuja Dar unisimulie Sultan.
Nitakuwa refa kama wale wa kwenye mieleka.
Niko Pluto huku ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata haujakosea kabisaWewe siyo mtu mzuri kabisaaa[emoji6][emoji6][emoji6]
Kwani huku watu wanafika[emoji28][emoji28][emoji28][emoji848] [emoji848] [emoji848] Nikija nisimulie bhana.
Hata haujakosea kabisa
Kwani huku watu wanafika[emoji28][emoji28][emoji28]
Haya karibuSio kufika tu, unafika na kwenda mbele ya pluto.
Umefanana na ndugu yangu mmoja yupo huko Dar na yeye anapenda sana Thamthilia aliwahi kupata hadi mawasiliano ya Merlin.Haya karibu
Kila kiungo kwenye mwili kinatakiwa kua kisafi haijalishi kiko sehemu gani au kinatumikaje?Sitakusalimia na mkono wa kulia nikikugundua.
Wewe ni me au ke?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda mimi ndio ndugu yakoUmefanana na ndugu yangu mmoja yupo huko Dar na yeye anapenda sana Thamthilia aliwahi kupata hadi mawasiliano ya Merlin.
Babu jomoniii[emoji14]Mi natumia mkono wa kushoto kuchambia... nadhani mi ni mwenzenu.
Dah nione kama ni wewe au lah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda mimi ndio ndugu yako
Babu Una bill yako LA StanzaAmepata ziara ya siku nne kutembelea mwezini...
Ukija nyumbani niulize[emoji23][emoji23][emoji23]Dah nione kama ni wewe au lah.
Ukija nyumbani niulize[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee... mkoloni kanibana... nimemletea makalio huku ayacharaze atakavyo...Babu Una bill yako LA Stanza
Labeka mpenzi...Babu jomoniii[emoji14]
KamooLabeka mpenzi...
Ni deal sema uko pande zipi tuchukue mkwanja fastazipi faida za mashoto.?
maana hapa home hao mashoto wapo wa2..
ni deal.!?