Hapo kwenye namba 6, Rafa Nadal sio left handed. Anatumia mkono wa kulia kama kawaida, kama anavyoonekana anaandika kwenye picha hapo. Mwenyewe anasema upande wake wa kulia ndio wenye nguvu na active sana, ila anapokuwa kwenye Tennis Court tu ndio anashika racket kwa mkono wa kushoto. Ni kitu alichojifunza since day one.