Mashoga ndani ya JWTZ

Mashoga ndani ya JWTZ

Habari Ndugu zangu,

Nina Ndugu yangu ambaye amemaliza hatua ya awali jeshini sasa hivi Yuko on Service Mbweni,ameniadithia mambo Mengi Sanaa,lakini lililonishangaza zaidi ni kuna idadi kubwa Sanaa ya Mashoga ndani ya JWTZ.
Naomba kuthibitishiwa jambo hili Kama kuna ukweli coz bado sijaamini kabisa
Hujamwelewa vizuri, yy ndie shoga
 
Naona unatafuta kiki kwa pikipiki. u
Unaikumbuka hii? "Sadism is inevitable when the situation is alarming"
Shauri yako mkuu

Sent from my Huawei mate 9
 
Mbona umechanganya habari jwtz alafu story ya service mbweni jkt hao bado hawajawa/kuajiriwa jwtz hujui chochote unakurupuka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom