yah sio kuzaliwa kuwa mashoga, lakini wanakuwa na homony nyingi za kike na akishafika muda wa kubalehe ndio vichocheo hivyo vya kike vinakuwa juu na unakuta mtu anaanza kuplactice hayo mambo na ndio maana akasema wapo waliozaliwa hivyo
Ni jambo la kusikitisha sana Kelly01 lakini ndio mambo ambayo yanatokea kwenye jamii yetu sasa hivi kwa kiasi kikubwa. Kuna baadhi ya tafiti zinasema kutokana na watu kuogopa UKIMWI sasa ndio wameanza kufanya UNYAMA huu ili kujiridhisha tamaa zao za kishetani. Kusema kweli hukumu ambayo mimi ningefikiri inamstahili huyu kijana ni kusulubiwa hadharani tu vinginevyo jamani watoto wetu wataharibiwa kwa kiwango kikubwa sana na MAJUTO NI MJUKUU huwa hayasaidii hata kidogoOmg!sipo hii story yako imenisisimua sana how could a person do such a thing to an innocent kid jamani!...yaani nimesoma alafu natetemeka kabisa kwa unyama wa huyu kijana yaani inabidi tuu asulubiwe na ikiwezekana anyngwe ni mnyama kabisa....ooh my god mtoto wa watu!.....yaani kweli alishindwa kwenda huko nje na kutongoza wanawake na kuanza kumuingilia mtoto mdogo jamani uwiiii! tate naneeeh!.....navalonge swela....Inauma sana inauma sana tuu!....angekuwa mtoto wangu i think ningezimia....
Ni jambo la kusikitisha sana Kelly01 lakini ndio mambo ambayo yanatokea kwenye jamii yetu sasa hivi kwa kiasi kikubwa. Kuna baadhi ya tafiti zinasema kutokana na watu kuogopa UKIMWI sasa ndio wameanza kufanya UNYAMA huu ili kujiridhisha tamaa zao za kishetani. Kusema kweli hukumu ambayo mimi ningefikiri inamstahili huyu kijana ni kusulubiwa hadharani tu vinginevyo jamani watoto wetu wataharibiwa kwa kiwango kikubwa sana na MAJUTO NI MJUKUU huwa hayasaidii hata kidogo
Kelly01 hawajatoa umri wake lakini ni below standard four, just imagine ni mtoto mdogo sana. Dada Kelly dunia hii kuna watu na MIJITU X 2 na huyu houseboy ni mmojawapo ya majitu. He doesnt deserve hata kukaa uko kituo cha polisi, unajua nimeona sasa tunalea mardhi mabaya sana kwenye familia na nchi yetu. I think this stupid houseboy doesnt deserve to live ni more than shetani wa jehanamu ya kipindi cha sodoma na gomoraSipo how old is the kid?....yaani hata kama mtu unataka unaogopa Ukimwi ndiyo kuanza kufanyia unyama watoto wasiokuwa na hatiya?..si kuna product za aina nyingi tuu (dildo) za kutumia jamani kwa nini aitafute hizo zipo za kike na kiume these days kuliko kumuharibu mtoto mdogo huyu....Na alaaniwe kabisa huyu evil son of the gun....Ni kweli tena na asulubiwe hadharani kabisa.....hii stoy imenichanganya akili kabisa....i love kids and i hate when people do such evil thigns to them.....uuuuuuugh!@.....why him?.....
YE ni kweli in the first place mtu unakosa cha kusema kwasababu ni jambo la kuhuzunisha sana. Mimi nafikiri ile sheria ya masuala ya ubakaji inabidi itumike effectivelly kwa watu wa aina hii. Its shame to Tanzania kabisaDamn......i don't know what to say!
Mtu kama huyu sijui afanywe nini, yaani nimesisimka.
Kelly01 hawajatoa umri wake lakini ni below standard four, just imagine ni mtoto mdogo sana. Dada Kelly dunia hii kuna watu na MIJITU X 2 na huyu houseboy ni mmojawapo ya majitu. He doesnt deserve hata kukaa uko kituo cha polisi, unajua nimeona sasa tunalea mardhi mabaya sana kwenye familia na nchi yetu. I think this stupid houseboy doesnt deserve to live ni more than shetani wa jehanamu ya kipindi cha sodoma na gomora
Na wewe? Unamaanisha nini?=blueHii topic imepitwa na wakati wanaotupa hela wenyewe wamehalalisha kitendo hicho sembuse wewe. naona tu tunapoteza nguvu nyingi. Wenye familia zao tufanye maombie hayo mambo yasituaffect wale ambao tayari basi tena si riziki waombee waache.ni ngumu, wasagaji ni watu mnao admire hapa mjini, wanafanya fyongo mnaona hamsemi. Dah! we need prayers.