Kwani wkuu wa mikoa wana kazi gani zaidi ya kupokea wageni na kumhudumia mkuu wa kaya anapowatembelea????????Serikali inabeba mzigo mkubwa kuhudumia watu wasio na kazi maalumu!!!!!!!!!!!Mashishanga the looser katika uongozi wake kama mkuu wa mikoa ya tabora, mwanza na morogoro hakuna lolote la maana na kukumbukwa alilowafanyia wananchi zaidi ya kujinufaisha yeye binafsi kwa kupora ardhi na mifugo ya wananchi masikini wa morogoro.
Anajaribu kuropoka ili ccm wajue kwamba bado yupo!
Hee hivi ni kweli, kwa hiyo ni looser tumsamehe amechoka!!!!!!!!!Huyu aliamini sumaye atakuwa raisi.
Anajaribu kujipendekeza kwa JK ili apewe tena Ukuu wa Mkoa. Kama mtakumbuka huyu babu alitemwa na JK katika kile kilichoonekana ni visasi vya JK kwani kwenye mchakato wa kumchagua mgombea wa CCM 2005 huyu Mzee bila kumung'unya maneno alimtamkia Sumaye alipokwenda Morogoro kwamba wewe ndie mgombea pekee tunaokutambua wengine tunawashangaa hatujui wanafanya nini, kwa hiyo tegemea kura zetu. Akijamwingine hapa tutamfukuza.Mashishanga the looser katika uongozi wake kama mkuu wa mikoa ya tabora, mwanza na morogoro hakuna lolote la maana na kukumbukwa alilowafanyia wananchi zaidi ya kujinufaisha yeye binafsi kwa kupora ardhi na mifugo ya wananchi masikini wa morogoro.
Anajaribu kuropoka ili ccm wajue kwamba bado yupo!
Ingawa kuua na kosa, wazee kam hawa tungekuwa tunapiga mishale tu, kitendo cha mashishanga kutamka hivi anamaana wananchi hawatakiwi kuchimbiwa hivyo visima vya msaada, ma hali serikali ya ccm haiwajali hata kuwapatia angalau kisima kimoja