Mashirika ya Umma Tanzania: Yapi bado yapo, yapi yamekufa na Kwanini?

Kufa kwa Mashirika ya UMMA na Vyama vya ushirika ​Tanzania ni ukosefu wa Rasilimali watu au ni mfumo mbovu wa serikali yetu? Tujadili wadau na kutoa mifano iliyo hai.
pepekale none of your reasons apply. Public Corporations dead because of Government Policy at that time. Government Policy in that time was "FULL EMPLOYMENT"; all graduates were being allocated to public corporations without considering the entity's ability to pay them as a result all entities ended up in over employment. Now we are on free market economy which decides how many people can be employed depending on the ability of the economy
 
Last edited by a moderator:
Na alieuza mbona hutaki kumtaja au ni shemeji yako? Nyerere baada ya kuanzisha viwanda aliviendesha kwa mfumo wa siasa zaidi.
ni vizuri unatambua kuwa ccm wanauza mali za watanzania kama mwinyi alivyouza loliondo kwa waarabu,jk akauza kigamboni kwa marekani na uranium kwa wamarekani
 
Nyie endeleeni kukubali hiyo sumu mnayopewa na vyama vya msimu itawatokea puani hayaaa!!!
 
Waheshimimiwa wameua mashirika ya umma ya usafirishaji kama vile TAZARA,TRC ili magari yao kusafirisha mizigo yafanye kazi hiyo,abiria wasafiri kwa mabasi yao badala ya kusafiri kwa treni za umma,abiria wa mjini watumie dala zao badala la shirika la UDA.Haya ni baadhi tu ya mashirika yaliyokufa kwa faida yao.
 
Waheshimimiwa wameua mashirika ya umma ya usafirishaji kama vile TAZARA,TRC ili magari yao kusafirisha mizigo yafanye kazi hiyo,abiria wasafiri kwa mabasi yao badala ya kusafiri kwa treni za umma.Haya ni baadhi tu ya mashirika yaliyokufa kwa faida yao.
 
Kuna kampuni ilianzishwa na kuitangazia dunia kuwa Tanzania hatuitaji kuwa na viwanda njoooni mnunue na kufanya magodauni. Kampuni hiyo inaitwa Wizara ya ubinafisishaji na mkuu wake alikuwa Abdallah Kigoda. walipiga ile mbaya pesa na jamaa wako vizuri sana kiukwasi.
 
Back
Top Bottom