Utajiju, hayo ni maoni yangu, to me are useless!Kumekucha, call mebthe ganja planter 😁😁
Sio mashirika ni Taasisi, upo sawa ka mtizamo wako, sikupingi.Utajiju, hayo ni maoni yangu, to me are useless!
TISS sijui wanaitwa Shirika la nini sijuiONGEZA
Walivuruga mafaili hapo TFDA haipo ipo TMDA TBC (ooh sorry!) TBS ndio imegeuzwa kua TFDA ila bado inaitwa TBSTBS bado inafanya kazi kweli au ilibadilishwa kama wale TFDA
Mi mashirika maana yanamilikiwa na watu binafsi hakuna mali ya umma pale.Sio mashirika ni Taasisi, upo sawa ka mtizamo wako, sikupingi.
Exactly! Hili ni la s100, sasa utasema mi la wananchi?
Ni la Nkunda na s100, mali binafsiKwa yalitokea Oct 29 ningrpendekeza jina la JWTZ libadilishwe liitwe Tanzania Army kufuta historia mbaya iliyowekwa na CDF
INEC,Takukuru,ofisi ya msajili,bila kusahau ccmHaya ni useless, rubbish, zero service to the people. Yanamilikiwa na watu binafsi. Yapo mengi ongeza
1. TMA
2. TTCL
3. IKULU
4.JWTZ
5. POLISI
ONGEZA
Safi ngoja niyaongezeINEC,Takukuru,ofisi ya msajili,bila kusahau ccm