Mashirika makubwa ya habari yanaingizaje kipato?

Boutafrica

JF-Expert Member
Dec 11, 2014
955
2,072
Habari wakuu, mimi napenda kujuzwa hv haya mashirika makubwa ya utangazaji duniani huwa yanajiendesha vp kifedha na yanapataje kipato? hapa kwetu kwa mfano ITV, TBC, STARTV nk naamini hujiendesha na kufaidika kutegemea zaidi matangazo,

wakuu naomba mwenye kujua hili anijuze tafadhali.
 
bbc haitegemei matangazo sababu bbc haina matangazo,BBC inategemea tv licence money,yaani watu wote wa UK wenye TV ndani ni lazima walipe fee .....hiyo fee inaitwa tv licence
 
bbc haitegemei matangazo sababu bbc haina matangazo,BBC inategemea tv licence money,yaani watu wote wa UK wenye TV ndani ni lazima walipe fee .....hiyo fee inaitwa tv licence

Nimekupata mkuu,je vp khs aljazeera ina maana nayo inaendeshwa kma bbc kutegemea tv license?
 
Back
Top Bottom