- Mgomo wa madaktari
- Mauaji ya Songea
- Sheria ya mabadiliko ya katiba
- Kuvuana magamba
- Kutofautiana kwa kauli mbalimbali za mawaziri na viongozi wengine waandamizi
Chakumsaidia ni kumshahuri awemkali na atimue wote wale wanaobabaisha katika utendaji wao wapo watu wanao wezakufanya kazi wazee wanamchanganya na vijana wapo wengi wenye uwezo!
Cha kumshauri hapo awe mkali,sio kucheka muda wote,apige chini mara moja wanaofanya madudu
Forget Everything And Runaway is defined as FEAR. The only thing to fear is fear itself. The fear of this moment can be eliminated by eliminating the idea of TECHNICAL KNOW WHO, AGE AND GENDER DESCRIMITATION ON APPOINTING MINISTERS AND HIGHER RANK OFFICIALS AND FIRING ALL THE CORRUPT TOP AFFICIALS, IMPLEMENT STRONG MEASURE OF COLLECTING TAX.