Mashine zote za shamba zipo

Mashine zote za shamba zipo

We sell

Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
16
Reaction score
4
Faaris Hardware inakutaarifu kuwa tuna mashine zote za mashamba kama water pump,mipira ya kumwagilia,mashine za kumwagilia mimea,chainsaw pamoja na mashine za kuoshea magari.
Karibu faaris Hardware duka lenye bei bora vyenye kudumu na uhakika.
Tupo mtaa wa Samora na India jijini Dar es salaam.
0655492431 au 0718030303.
 
Asante kwa kutoa taarifa muhimu kwa wakulima. Mie nahitaji mipira ya kumwagilia shamba yaani drip irrigation pipe ningependa kujua hiyo ndio uliyokusudia kuwa unayo ama ni mipira ya kawaida uliyonayo nasubiri jibu lako ili niweze kukutafuta asante.
 
Mipira yote ya Shamba na bustani tunayo.
karibu Sanaa na asante.
 
ungeweka bei ungetusaidia sana si unajua mtu kupiga simu au kuja huko kumbe sio size yetu kabisa. Pia specifications zake motor size? je kuna diesel au manual vile vidogo kama za Intermech Morogoro?
Pia tuna mashine za kusaga na motor.
 
Mkuu una honda water pump za 2-3inches?bei?
Na vipi mipira yake?I mean mpira wa inche2 na 3 kwa mita100 bei gani?nataka ile migumu ambayo naweza tumia kwa muda mrefu.
 
Mkuu una honda water pump za 2-3inches?bei?
Na vipi mipira yake?I mean mpira wa inche2 na 3 kwa mita100 bei gani?nataka ile migumu ambayo naweza tumia kwa muda mrefu.

Honda water pump 2 ni 630000 na 3 ni 750000.
Mpira delivery ya nnchi 2 135000 na 3 ni 165000.
 
ungeweka bei ungetusaidia sana si unajua mtu kupiga simu au kuja huko kumbe sio size yetu kabisa. Pia specifications zake motor size? je kuna diesel au manual vile vidogo kama za Intermech Morogoro?

motor tunasize kuanzia hp 3 mpk 24 sasa siwezi kuweka bei ya zote hizo.zipo za diesel na za umeme.Za manual kwa sasa hatuna.
Wewe unataka ipi?
 
motor tunasize kuanzia hp 3 mpk 24 sasa siwezi kuweka bei ya zote hizo.zipo za diesel na za umeme.Za manual kwa sasa hatuna.
Wewe unataka ipi?
Asante mkuu kumbe mnazo HP tofauti, ningependa hizo za diesel pia maana huko umeme bado ngoja nije nicheck mwenyewe hapo Samora sio mbali. Thanks
 
Back
Top Bottom