Asante sana sometimes kwa kuniwakilisha,naomba unitumie jina lako halisi,ili niweze kukutambua ni nteja wangu yupi kati ya wengi walioagiza hawa wa mikoani.
Ni kweli kampuni yangu inaunda incubator nzuri na za kisasa kabisa kuendana na mazingira,kipato cha mtu nk.kwa namna moja au nyingine ni kama natoa huduma tu kuwasaidia wahitaji.hivyo nawasihi watanzania wenzangu kuthubutu kwa kuchangamkia fursa hizi adimu,ninasema adimu kwa sababu sio wote wanaojitangaza hapa wanaunda incubator nzuri,hapana,wengine ni wababaishaji tu,unapotaka incubator,ebu basi ifanane kabisa na za ulaya kwa kila kitu,kuanzia umbo na ufanisi.
Changamoto ninazopata ni watu kuwa wagumu kuamini,lakini wakishazichukua wanatamani kuagiza kubwa zaidi.
Pia tunawasaidia wateja wetu kupata mayai ya aina zote au vifaranga.wasiliana nasi,0784413039.
Habari zenu wana jamvi. Nipo kidato cha sita na nnategemea kufanya mtihani wangu wa mwisho tar 4 ya mwezi wa tano. Baada ya kubana matumizi shuleni nimeagiza kutengenezewa incubator ya kutotoleshea ambayo itakua tayari mwanzoni mwa mwezi wa tano. Malengo yangu ni kutotolesha mayai alafu kisha kufuga kwa mtotolesho wa kwanza then baadae nianze kuuza vifaranga. Yote haya nataka kuyafanya kipindi nasubiri kwenda chuo mungu akitia wepesi. Naombeni ushauri wenu katika hili ili niweze kulitekeleza kwa ufanisi.
VITU AMBAVYO NINGEPENDA KUSHAURIWA
1.Upatikanaji wa mayai
na gharama zake
2.Gharama za ufugaji kwa kuku 100
3.Soko la vifaranga hasa kwa eneo nililopo la kibaha
4.Aina ipi ya vifaranga inalipa zaidi
5.Utaalam wa kuchagua yai bora
6.changamoto ambazo huambatana na matumizi ya hizi mashine
7.Changamoto zinazoambatana na kufuga hawa kuku wa kienyeji
Nawasilisha
sallathiel yako tofauti na uyo kama tofauti nitajie bei na idadi inayo chukua ela ipo mkononi sema fastaInatumia umeme wa kawaida, solar power na battery, ni full automatic, mayai 210 pia zipo za mayai chini ya hapo. 0717169816 whatsapp only or isayasalathiel@gmail.com.
sallathiel yako tofauti na uyo kama tofauti nitajie bei na idadi inayo chukua ela ipo mkononi sema fasta
Automatic egg incubator made by mge