boy 1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2016 Posts 414 Reaction score 395 Nov 10, 2021 #1 Msaada mwenye kujua machine ndogo ya kutengeneza juice ya muwa inauzwa bei gani
Premij canoon JF-Expert Member Joined May 27, 2018 Posts 1,276 Reaction score 2,981 Nov 10, 2021 #2 Mini ninayo, nakuuzia kwa 800,000/ badala ya 1.5M Ilikua inafanya kazi kariakoo, sasahivi Haina kazi baada ya machinga kuondolewa. Kama upo interested Karibu PM kwa mawasiliano zaidi. Asante
Mini ninayo, nakuuzia kwa 800,000/ badala ya 1.5M Ilikua inafanya kazi kariakoo, sasahivi Haina kazi baada ya machinga kuondolewa. Kama upo interested Karibu PM kwa mawasiliano zaidi. Asante