Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
Nimefungiwa LUKU mpya inayofungwa juu kwenye NGUZO ZA UMEME ambapo mashine zake unaweka kwa ndani ya nyumba na ni lazima muda wote uwe umechomeka kwenye soketi kwani ukichomoa tu kanakata chaji.
Tangu jana nilinunua umeme lakini kila nikijaribu kuingiza ina serch hadi basi nimejaribu kununua umeme mwingine kwa simu wapi, nimetafuta umeme wa karatasi wapi nimebadili kutoka Max malipo hadi kampuni nyingine ya Selcom lakini wapi na nimelala kiza.
Mwenye ushauri wakuu