Wana jamvi
Salaaam
Naomba mwenye uelewa au ufahamu wa mashine za kutengeneza mkaa wa kisasa( alternative charcol ) na soko lake anijuze,pia na masoko ya bidhaa yaani mkaa wenyewe kwa hapa Tanzania,pia na ushauri wa hii biashara kwa ujumla
Nawakilisha