Mfarisayomtata
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 474
- 188
wadau nina hitaji la mashine ya kusaga mahindi inayotumia dizeli, je naweza kuipata kwa gharama gani?? Ikiwezekana mtu anidadavulie na specification zake maana najua lazima zitakuwepo za aina tofauti tofauti. Nitashukuru nikipata majibu mazuri.