mnauzaje hizo mashine?Tunaunda Mashine hizo pigs simu 0754397178
Mkuu mnaweza kunipatia mashine ndogo ya kupiga maharage au kunde?Tunaunda Mashine hizo pigs simu 0754397178
Naenda 8 / 8 leo kuna jamaa wametokea Sengerema nitakupa jibu kesho!Habari wanajamvi?
Kwa wale wanaofahamu makampuni au wajasiriamali wanaotengeneza mashine za kumenya na kukausha mhogo (cassava peeling/drier machine) anielekeze ama anipe contact zao please. Natanguliza shukrani kwa michango yenu.
dry machine ya cassava ninawafahamu wanao tengeneza,ili peeling cjuiHabari wanajamvi?
Kwa wale wanaofahamu makampuni au wajasiriamali wanaotengeneza mashine za kumenya na kukausha mhogo (cassava peeling/drier machine) anielekeze ama anipe contact zao please. Natanguliza shukrani kwa michango yenu.
Ni wapi hao mkuu? nahitaji kuwasiliana naodry machine ya cassava ninawafahamu wanao tengeneza,ili peeling cjui
Uko serious mkuu,nikuunganishe yuko domNi wapi hao mkuu? nahitaji kuwasiliana nao
Ndiyo kaka, niunganishe please, 0765829256. Japo nipo stage ya utafiti ila bidhaa iko shambani.Uko serious mkuu,nikuunganishe yuko dom