Mashine ya kumenya viazi, kuslice na kukata

Mashine ya kumenya viazi, kuslice na kukata

baDani

Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
11
Reaction score
5
Zimewasili Dar mashine nzuri za kisasa za Kumenya Viazi, pia kwa wajasiriamali wanaotaka kufanya biashara za Kumenya Viazi na Kuingiza kipato Safi, mashine ndogo manual za kukata viazi pia ZIPO, mashine ya umeme kubwa ya kuslice Viazi, Ndizi, Mihogo zipo kwa wale wa crisps..

Nicheki kwa 0784121728 nipo Sinza Makaburini DSM.
Asanteni.

YANI TUMESHUSHA BEI KWA SIKU TANO TU HIZI.
images%20(45).jpeg
images%20(46).jpeg
images%20(66).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui kitu bro, Ni Bora kukaa kimya kuliko kufungua utu WAKO kuwa hujui kitu.

Mosi sijataja Bei, pili hizo mashine tatu kwa namna yeyote Ile haiwezi kuwa 40,000. Hiyo Ni Bei ya kununulia kisu na vikombe. Tumuia busara acha kukurupuka
Mbona bei ipo juu sana yani hiyo machine kwa 40000 tu wakati kariakoo elfu 25

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui kitu bro, Ni Bora kukaa kimya kuliko kufungua utu WAKO kuwa hujui kitu.

Mosi sijataja Bei, pili hizo mashine tatu kwa namna yeyote Ile haiwezi kuwa 40,000. Hiyo Ni Bei ya kununulia kisu na vikombe. Tumuia busara acha kukurupuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wabongo itatuchukua muda sana kufanya biashara mtandaoni. Sasa kama hukutaja bei utarajia tukutajie sisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Bei tukubembeleze kuweka?,Tutakwenda kwa Ley home appliances
 
Ohhh Mashine ya kumenyea Viazi Bei Halisi dukani Ni 1.8 M Tshs kwa Sasa Kuna offer ya SIKUU hii na ya mwaka mpya kwa Tshs 1.2 M Only offer hii mwisho tarehe 2 January 2020, mashine ya umeme ya kuslice na unaset thickness unayotaka Ni 1.5 M Tshs. Mashine ndogo manual ya kukata viazi yenye size Kama tatu hivi no Tshs laki 2 TU. Lakini kwa offer hizi Sasa UKINUNUA mashine ya Kumenya Viazi unapata hii ndogo ya kukata viazi, French fries cutter BURE. Baada ya siku KUU hizi zinauzwa separately.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom