Mashine ya kukaushia zabibu

Mashine ya kukaushia zabibu

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,648
Reaction score
3,864
Wakuu natafuta mtu mwenye mashine ya kukaushia zabibu au sehemu ambayo naweza pata/kununua hii mashine. Nipo hapa dar mwenye idea anipe
 
Wakuu natafuta mtu mwenye mashine ya kukaushia zabibu au sehemu ambayo naweza pata/kununua hii mashine. Nipo hapa dar mwenye idea anipe
inakusha na kutoa mbegu...bajet yako ipoje??
 
Sijafanya utafiti wa bei pia
ni hv wengi hapa JF wanatafuta Solutions au product awajajipanga au awajui wanachotaka.tatizo wanafikiria wewe Mungu unaweza soma mawazo yao.ukitofotiana nao unajikuta unapoteza muda na pesa pengine.njoo na complete requirements. na unataka nini hasa.mashine zipo! zabibu zikikaushwa unazifanyia nn export or?? na kama export mteja wako huko unapopeleka anatumia viwango vya USA au UK/EU?? Wenzetu ata karanga zina viwango vinavyotakiwa kama zinatoka Africa etc.haya yote ni muhimu ili upate mashine inayotakiwa.
 
Back
Top Bottom