Mashine ya kukata aluminium

tisa desemba

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
434
114
Wadau naombeni msaada kwa yeyote anayejua zinapouzwa mashine za kukata aluminium na bei zake plz anijulishe. nahitaji kuipeleka mkoani. msaada plz.
 
Kariakoo mataa wa kongo barabara ya uhuru upande wa kulia kama unaenda mnazi mmoja. Zunguka kwenye ile mitaa utaziona nyingi tu.
 
ingia mtaa wa gerezani ulizia duka la gulf wanazo blackdekar 1.2m inayokata chuma 8cm ya 10cm ipo juu kdg
 
Wapi znapatkana c tatizo,maeneo yote ya gerezani ndio maduka yake ilimradi uwe na muda kdogo,ishu ni je uko familia na hizo mashine? La cvyo tegemea 'kanyanga'. kila lakheri
 
Wapi znapatkana c tatizo,maeneo yote ya gerezani ndio maduka yake ilimradi uwe na muda kdogo,ishu ni je uko familia na hizo mashine? La cvyo tegemea 'kanyanga'. kila lakheri

nashukuru kwa kunipa tahadhari, nitajitahidi kumpata mtaalamu ili niende naye gerezani kufanya window shopping.
 
Back
Top Bottom