Mashine ya kukamulia Ng'ombe

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
2,415
398
MCHAGA mmoja alinunua mashine ya kukamulia ng'ombe MAZIWA, kabla ya kuitumia kwa ng'ommbe akaijaribu mwenyewe kwa kuivaa kwenye DUDU yake, akasikia rahaaaa ya ukweli kuliko hata anayoipata kwa mkwewe.

Sasa alipomaliza akashangaa mpaka saa 1 limepita mashine haitoki, ikambidi apige simu kastama kea wakamwambia hiyo ni automatiki mpaka zifike LITA 1 NDIO ITOKE.
 
ha hahahaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiii mbavu zangu mie!!

hiyo ndiyo dawa ya walafi!!
 
Hiyo kiboko,, kwa utaalam wangu mimi mzee Wa kutupia nje hiyo lita moja ni sawa na bao 109 kama alikuwa anakunywa supu ya pweza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom