Natafuta mashine ya juisi ya miwa

Edson Carrington

JF-Expert Member
Oct 30, 2022
216
634
Habari wana JF,

Kama kichwa cha tangazo kinavyosema, nahitaji mashine ya juisi ya miwa kwa mwenye nayo aje tuongee.

Vigezo
  • Iwe inafanya kazi vizuri, usijaribu kutaka kuniuzia mashine mbovu kwani ninazijua
  • Ni kwa watu wa Dar es salaam tu, maana mimi nipo mbagala
  • Kuhusu ishu za bajeti njoo inbox kwa maelezo zaidi kama kweli una hiyo mashine
 
Una shilingi ngapi nikuunganishe na mdau sema nahisi yeye anakodisha ila ishu maelewano.
 
Njoo upate mashine mpya tu mkuu

Kama bajeti yako ndogo utapata mpaka manual mkuu iwe kutoka China au za mkono
Karibu 0774150519
 
Back
Top Bottom