Mashine ya kukamua Alizeti!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashine ya kukamua Alizeti!!!!!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Sir.Chemi, Oct 10, 2013.

 1. S

  Sir.Chemi Member

  #1
  Oct 10, 2013
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wanajf,mimi ni mkulima wa alizeti,
  sijawa na uwezo wa kununua mashine ya kukamua alizeti.
  Sasa ningependa kufahamu hizi mashine naweza kuzipata wapi ktk mikoa ya morogoro na Dar,
  na bei zake, wanakamua sh.ngapi kwa kilo?
   
Loading...