Mashine inayoonesha idadi ya wapenzi wako yagunduliwa

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,700
Nchini Marekani imegundua mashine ya kupima idadi ya wanawake au wanaume uliowahi kutembea nao, au unaotembea nao kwa wakati huu.

Akizungumza Dr Andrew amesema, ni hatua kubwa kufikia kutengeneza mashine hiyo kwani wapenzi wengi wataacha tabia ya kutoka nje ya ndoa.

Amesema mashine hiyo isiyotumia mionzi ni salama kwa afya ya ubongo wa binadamu, ameendelea kutoa wito kwa nchi za Africa kununua kwa wingi kwakuwa bei yake ni ndogo sana.
machine.jpg
 
TUMEISHAAAAA MAANA KUNA WATU TUNA KIJIJI KABISA CHA WATU MAUNGONI MWETU.
 
Inapima kitu gani hasa, maana ukisema idadi ya wapenzi ni too general
 
Nchini Marekani imegundua mashine ya kupima idadi ya wanawake au wanaume uliowahi kutembea nao, au unaotembea nao kwa wakati huu.

Akizungumza Dr Andrew amesema, ni hatua kubwa kufikia kutengeneza mashine hiyo kwani wapenzi wengi wataacha tabia ya kutoka nje ya ndoa.

Amesema mashine hiyo isiyotumia mionzi ni salama kwa afya ya ubongo wa binadamu, ameendelea kutoa wito kwa nchi za Africa kununua kwa wingi kwakuwa bei yake ni ndogo sana.View attachment 2236474
Weka chanzo cha hii habari.
 
Kopo hilo
 
Inaleta na majina ya hao wapenzi?
 
Kuna ambao tunajaza mabasi hamsini ya happy nation level seat
Dhambi ya uzinzi Ina nguvu kuliko uzinzi wenyewe
 
Back
Top Bottom