IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,230
- 1,925
The Malawian weed has been famous in all of UK for long...which is to say cha Makete kiko juu maaana ni ukanda mmoja..Cannabis sativum inawatimiaji wengi na hatausiowategemea.Moro kitu cha Doma usipime!! Arusha kitu cha Ngaramtoni na Kisimiri usipime!! Afu kuna kitu cha Malawi
'Jani likulie milimani kwenye baridi na maeneo ya mawe mawe....au miamba....' pafu moja tu kama unaanza uvutaji, unafyatuka palepale nakuanza kutembea umeina ukiulizwa kwa nini unatembea umeinama unawajibu...nyie hamuoni hiyo mbingu ilivyo karibu nikitembea wima wima sitanigonga kichwa.!!
UVUTAJI WA BANGI NA UTUMIAJI WA AINA NYINGINE YA MADAWA YA KULEVYA NI HATARI KWA AFYA YAKO YA MWILI NA KIAKILI; PIA NI HATARI KWA NDUGU ZAKO JAMAA ZAKO, KIZAZI CHA SASA NA VIZAZI VIJAVYO.
KOMESHA KWA NGUVU ZOTE MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA
Bangi ni tiba, bangi ni starehe, bangi ni ibada na mwisho bangi SIO madawa ya kulevya. Mtoto koma!
Watu wa pila ni wapuuzi, ni vibaraka wanaotumika kwa lolote liwalo, hata wenyewe hawajui kwanini wanatumika. Nawaonea huruma...
Puff puff moshi ujinga ukutoke!
Kwa utafiti upi ulifanya mkuu...other drugs yes, but weed [herb] so safe and healthy friendly
Nyambaf kabisa!
.....akili yako haina akili, bangi iite vyovyote iweke daraja unalopenda iwe itabaki kuwa mmea tiba
dah mwana umenikumbusha mbali kinyama!....Lost Boyz walipotimba bongo walipewa kitu cha Malawi afu mixer kama hyo ila ya ma.vi ya ng'ombe!.....puff kunya,puff kujamba!!...zingine zote famfa tu!kipo cha ukerewe-Mwanza, anakamatwa mbuzi, anafungiwa bandani kwa siku tatu bila kupewa chakula, then analetewa majani ya bangi anakula yakutosha tu, akinya vile vipunje vinachukuliwa vinafungwa kwenye mfuko wa plastic vinadumbukizwa kwenye shimo la choo kwa siku tatu, baada ya hapo kitu tayari,
kile kipunje kimoja kinauzwa 1000, ukipiga hapo mama yanguuuuuu....
kipo cha ukerewe-Mwanza, anakamatwa mbuzi, anafungiwa bandani kwa siku tatu bila kupewa chakula, then analetewa majani ya bangi anakula yakutosha tu, akinya vile vipunje vinachukuliwa vinafungwa kwenye mfuko wa plastic vinadumbukizwa kwenye shimo la choo kwa siku tatu, baada ya hapo kitu tayari,
kile kipunje kimoja kinauzwa 1000, ukipiga hapo mama yanguuuuuu....
.....akili yako haina akili, bangi iite vyovyote iweke daraja unalopenda iwe itabaki kuwa mmea tiba