zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Mwanaume akijifanya mwanamke itabidi tuamini ni mwanamke hakuna namna hasara kwakeWewe unauhakika upi kuwa hao wenye hizo id wote ni wanawake !??
Au unapumbazwa na maandishi yao ??!! (Kidding)
Picha mshindi akishapatikana tunadondoshaSasa bila picha zao huu uzi hauna maana
Nitapigaje kura ilihali simjui mgombea ninayemtaka? Weka picha zao la sivyo huu ni utoto wa jamiiforums!Picha mshindi akishapatikana tunadondosha
Duh!utoto gani follow instructions picha utaziona mwishoni don't doubtNitapigaje kura ilihali simjui mgombea ninayemtaka? Weka picha zao la sivyo huu ni utoto wa jamiiforums!
Picha zitaweka zote mshindi akishapatikanaWeka picha.
Hii ni special editon ya Jamii Forums ina masharti tofautiNitapigaje kura ilihali simjui mgombea ninayemtaka? Weka picha zao la sivyo huu ni utoto wa jamiiforums!
Wengine hapo ni mabonge wenye kilo zaidi ya 100 alafu unawaita miss
Kunani kwani?Aisee [emoji3][emoji3] hadi faiza ndani, we kweli zaga
Tumieni hata avatar zao si ndiyo huwa zinawazuzueni humuSasa bila picha zao huu uzi hauna maana
[emoji23][emoji23]dah sasa mbona hampigi kuraTumieni hata avatar zao si ndiyo hiwa zinawazuzueni humu