Mashindano ya kumsaka miss chichat september,piga kura kwa umpendaye tafadhari

asante mamito charminglady kwa kura yako na dada rabela ucogope kupiga kura ila namshauri hashimu Lundenga kuwepo na kura za maoni halafu yabaki majina manne ya final kura yangu nampigia cousin sisy charminlady na madameB ,i luv u a ma dia arabela
 
My dia Eversmilin Gal nami nami nakupendekeza kundi A, B nampa mshiriki aliekataa kukaguliwa na mafataki Asprin, Erickb52 na Bishanga nae ni Catherinine
 
Last edited by a moderator:

CUTE.
Period...
 
Last edited by a moderator:
Nimepiga.. ila nilikuwa nauliza kama inaruhusiwa kubadili kura yangu maana. miss lazima awe na ushirikiano mzuri

Na kama kura imeingizwa kwenye kiboksi je?
Ila jaribu kum-bembeleza "Anko" huenda atakusikiza.
Ushirikiano?
Teh teh teh teh,
Next..?? Elia
 
Last edited by a moderator:
Nimepiga.. ila nilikuwa nauliza kama inaruhusiwa kubadili kura yangu maana. miss lazima awe na ushirikiano mzuri

unaruhusiwa kubadili,nenda kwenye ile post ya kura yako fanya edit kabla ya saa 9 kamili,usipost post nyingine,fanya edit palepale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…