Mashindano ya kumsaka miss chichat september,piga kura kwa umpendaye tafadhari

Madame B nna wasiwasi hili shindano ni kampeni ya jamaa waseja wanataka wajitwalie vigori. mbona mama watoto charminglady bado yumo sana
 
Last edited by a moderator:
We unafanya kazi ya kusimamia kura au kuna kazi nyingine unafanya? Hivi ulisikia kilichomtokea karani wa sensa?

ha,ha,ha,teh,te,....hii kura inaujumbe mzito sana kwangu,ha,ha,ha,....dizain ya Kura ilivyopigwa tu imemanisha kitu,hujambo lakini X wangu?
 
advocate ruttashobolwa ora mbela meri,..emu nipe stor ya huyo karani kunani?

kuna karani baada ya kuhesabu watu na kuondoka yeye akaiba mke wa mtu akafumaniwa, cha kushangaza mwenye mke ndio alikamatwa eti kwa kuharibu zoezi la sensa maana ilibidi amfunge kamba mke wake na mgoni wake(karani) ili waende dar akalipwe faini! Lakini aliishia rumande kwa kuharibu zoezi la sensa!
 
Last edited by a moderator:
Ruhazwe JR nakuangalia tu unavyojifanya hashim lundenga upate wake za watu kwa urahisi. makubwa yatakupata
 
Last edited by a moderator:
kuna karani baada ya kuhesabu watu na kuondoka yeye akaiba mke wa mtu akafumaniwa, cha kushangaza mwenye mke ndio alikamatwa eti kwa kuharibu zoezi la sensa maana ilibidi amfunge kamba mke wake na mgoni wake(karani) ili waende dar akalipwe faini! Lakini aliishia rumande kwa kuharibu zoezi la sensa!

advocate kwa staili hii na mkeo Madame B nimjuavyo mbona utawakamata wengi!anyways inaonekana sikuizi umemnyosha maana nikikutananae kwenye kigodolo anakua mnyonge hukua ananitizama kwa upole akiwa ananimezea mate
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom