Mashindano ya baiskeli kijijini

Cku hizi huo ubunifu haupo kwa maeneo mengi sana, kwanza wachina wameleta vidoli vya kila aina na baiskeli za watoto, pili miti cku hizi ni dili kutokana na uharibifu wa mazingira.

Katika ubunifu tutabaki kuwa wasindikizaji tu.
 
daaa jf!!mshana hii kitu ilinivunja mkono mteremkoni enzi hizo,bagadu hiyo
 
Mmea wengi wana makovu ya badagu, ajali zake zilikuwa noma sana
 
Last edited by a moderator:
Cku hizi huo ubunifu haupo kwa maeneo mengi sana, kwanza wachina wameleta vidoli vya kila aina na baiskeli za watoto, pili miti cku hizi ni dili kutokana na uharibifu wa mazingira.

Katika ubunifu tutabaki kuwa wasindikizaji tu.

Utandawazi na usasa umedumaza akili za kizazi chetu
 
Au kdgo kdgo kam Nyau

Hahahahaaa ni hivi simu yangu nimeinstall auto post na auto reply device, kwahiyo nimeiprogram ikifika muda Fulani inapost au kureply
 
I dnt so aisee, so hata hili jibu ulonipa now, uli ki schedule before??:what::what:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…