Huu ni ujinga wa ajabu yaani michezo kama huo mnashindania laki 4,2 1 kwanini msifanye kazi zingine yaani mtu anatoka mbeya kuja dododma kushindania laki nne au Kuna vitu vya ziada.Siku ya Tarehe 25/6/2025 kutakua na ligi kubwa itakayofanyika DODOMA ligi hiyo itawakutanisha mafundi wa drafti kutoka sehemu tofauti tofauti hapa nchini
ZAWADI KWA WASHINDI
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
Mshindi wa kwanza Tsh laki nne
Mshindi wa pili Tsh Laki mbili na nusu
Mshindi wa tatu Tsh Laki moja na nusu
Mshindi wa nne Tsh Laki moja
MDHAMINI WA LIGI NI (YCR)
Hawa ndio wachezaji waliothibitisha kushiriki ligi hiyo
SIMBA WA DODOMA,
DOGO SISCO,
OMARY KIWEMBE,
DOCTOR ALLY,
FUNDI SAIYA,
DOGO SHUKURU,
NDULI,
NOELI NAMALOE,
HEDI GAIDI,
MAYAI,
KONTINHO,
NUNGWI JR (Zanzibar)
MONSTER (Zanzibar)
IWOBI,
DOGO PAUL,
YASINI EAGLE, (Tanga)
ANAKONDA, (Tanga)
MSOMARI (Arusha)
RAMA WA ARUSHA, (Arusha)
ATHUMANI GOKO, ( Iringa)
MESSI, (Morogolo)
ARADINI, ( Morogolo)
JUSTINE, (Mbeya)
KINYUNYU, (Iringa)
KATARUNYA, (Dodma)
RICHIE, (Dodoma)
CHILENDU, (Dodoma)
KIZUNGA, (Dodoma)
RUBUVA, (Dodoma)
MWAFYALE, (Dodoma)
OBADIA, (Dodoma)
KIMOJA, (Dodma)
CHIGUNDU (Dodma)
KIBONA, (Dodoma)
PASTOR ALEX (Dodoma)
KANAVARO (Dodoma)
SERENGETI (Dodoma)
RAMA WA SINGIDA, (Singida)
LISSU, (Singida)
GWISU, (Mwanza)
Hii ni mbungi ya kibabe nani kuibuka bingwa ndani ya dodoma ASANTENI.
Hiyo pesa hata ikibaki hazidi laki.
Ongezeni pesa acheni michezo