mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,476
- 21,046
Leo ikiwa ni mwisho kabisa wa kutupa Nanga yetu katika dimba la nou camp naamini na ninauhakika na nini kikosi bora duniani kinafanya kwani tumejiandaa kisaikolojia na kimkakati ku win match hii ambayo kwetu sisi Barca bado hatujapoteza kwani tumecheza nusu ya muda na tumebakiwa na nusu ya mchezo hvo kutufanya kuongeza concentration ya ushindi
Hamna asiyefahamu kuwa timu kama barca sio ya kubeza ushindi wa goli 4 mbele ya adui yetu we can deaf them or even equalising
Tutatumia kila aina ya silaha kuhakikisha tu tunaleta ushindi dimbani kwetu
Mbinu ya kwanza ni kufunga na kuufanya mpira utereze yani kiwanja tunamwagilia maji kwa pasi kama 10000 hivi
Leo tegemeeni mabadiliko sio ile barca ambayo mnaijua leo ita focus kwenye kufunga zaidi!!
Namaliza kwa kusema viva Barca,viva barguana
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums