miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
well said .. kabisa yani unakuwa mwaaaaaMy wadada hawajui kuwa uzuri kila mwanamke anao. kujiami peke yake ni uzuri kwangu, jambo la msingi ni kujua kupangilia mavazi, kujua mtindo gani unakufaa kichwani, nywele fupi au ndefu, na kujiamini. hivo tu kwangu ni uzuri. napenda mwanamke akiwa simple. sio mwanamke kajiongeza hadi kawa kama jini. hujiamini nini????????????
Alafu wewe unakesi na mimi. nitakutafuta chemba.
kuna watu kawadanganya kila mwanaume anaangalia kalio
My wadada hawajui kuwa uzuri kila mwanamke anao. kujiami peke yake ni uzuri kwangu, jambo la msingi ni kujua kupangilia mavazi, kujua mtindo gani unakufaa kichwani, nywele fupi au ndefu, na kujiamini. hivo tu kwangu ni uzuri. napenda mwanamke akiwa simple. sio mwanamke kajiongeza hadi kawa kama jini. hujiamini nini????????????
Flat screen ndo mpango mzima bana, yani nihemee juujuu?
He he he,Best mie Mdada mwenye rehema za Allah...nimpenda kweliHahahahaaa ila mbunifu sana, hivi kuna watu wanapenda mashepu kiasi hicho?
Aisee!!!
He he he,Best mie Mdada mwenye rehema za Allah...nimpenda kweli
Hii tabia madada wa hapa mjini wanayo kweli, na mimi nimewahi kuwashuhudia wawili wenye tabia hiyo.
I love this for sure[/QUOT
Da mungu hawezi kukunyima vyote
ukikosa hipsi basi utapewa bahati. Unaweza ukawa na hipsi ukawa jamvi la wageni ata wa future na wewe hakuna.
True...:thumbup:
Eeee kumbe flatscreen tunasehemu yetu eee
mwenzio mimi ni flatter kabisa sasa wadada mabonge wananitamanijeee!!! Eti wanataka wawe kama mimi! Wameshaharibu lakini haitawezekana kuwa flat tena (kwa wale waliojiongeza wenyewe, sio wale wa natural)
aibu nimeona mimi