Mashemeji wa kike ni jipu

Mashemeji wa kike ni jipu

Nilianza kuamini lakini ulilofika point kwamba shemeji kachukua simu yako na kumpigia mchumba wako muda mfupi tangu afike kwako nikaona hii haiwezekani. Halafu mtu mwenyewe bado kumgegeda! Na huyu shemeji awe na ujasiri wa kukutumia picha yake ya utupu kabla ya kuwa kwenye mahusiano!

Kama hadithi ni kweli basi hata huyo shemeji lengo lake alipanga amuharibie rafiki yake na wala si kwamba alikupenda kama unavyofikiri.

Ni kawaida wanawake kuoneana wivu na pengine hata kupindua himaya ila hiyo approach ndo naitilia mashaka. Na kama ni kweli basi huyo shemeji ni kibaka pamoja na uzuri wake.

Safi sana mchambuzi.
Vipi lakini?
 
HAIWEZEKANI MASHEMEJI ZAKO WOTE WAKUTAKE, YANI HAKUNA ANAYEJIHESHIMU, KAMA NI KWELI INA MAANA HUYO MWANAMKE WAKO NA ANA TABIA HIYO.
Hakuna lisilowezekana chini ya jua mkuu.
Watu wanatoka na Mama na Baba zao sembuse hilo.
Embu kuwa serious mkuu
 
Back
Top Bottom