Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,152
- 11,209
Alitokea mazoezini? Kama hauna feni sjui wereva ungemwambia akae ata nje mijasho yake ikaukeMkuu namheshimu sana mchumba Wang. Shemeji kuja na kuoga home ni kutokana na joto na alivyo-sweat.
Kama ningekuwa na nia ya kumla ningemla tokea kitambo sema mimi ndiye niliyekuwa nakataa. Na si yeye tuu ninekataa wasichana wengi sana kwa sababu ya kumheshimu mchumba Wang.
Ila kuhusu kuchepuka inatokeaga kwa nadra lakini kwa watu wa mbali mno