Mashemeji wa kike ni jipu

Mashemeji wa kike ni jipu

Mkuu namheshimu sana mchumba Wang. Shemeji kuja na kuoga home ni kutokana na joto na alivyo-sweat.
Kama ningekuwa na nia ya kumla ningemla tokea kitambo sema mimi ndiye niliyekuwa nakataa. Na si yeye tuu ninekataa wasichana wengi sana kwa sababu ya kumheshimu mchumba Wang.

Ila kuhusu kuchepuka inatokeaga kwa nadra lakini kwa watu wa mbali mno

Kwa hiyo siku hiyo alikuwa anaoga na kuondoka, chakula ulikuwa unajipikia le mwenyewe au mle pamoja!?
 
bro sijui nakuteteaje hapo.. kila step uliyoelezea inaonyesha unakosea.. bad enough hata maumivu ya demu wako huyajali kisa unajua anakupenda... badilika man hawa wanawake wanabadilishwa tabia na sisi wanaume.. kumbuka hilo..!

Wanawake wanaishi vile utakavyo. Ni hayo kwa leo
 
Ha ha ha haaaaa

Ungekuwa unajiheshimu huyo shemeji husingemuita aje kwako mwenyewe, na pia kumruhusu avue nguo na kuoga kwako.

Wewe ndio ujisikitikie... hauna ubavu wa kujiita mwanaume mwema hata kama hukudo nae lazima unado na wengine mwanamke wako hasiowajua. Umeonyesha ndio mchezo wako, bora akusome huku akujue ulivyo.
Huyu jamaa hana tofauti na Bashite mwaya!🙂🙂🙂
 
Mkuu namheshimu sana mchumba Wang. Shemeji kuja na kuoga home ni kutokana na joto na alivyo-sweat.
Kama ningekuwa na nia ya kumla ningemla tokea kitambo sema mimi ndiye niliyekuwa nakataa. Na si yeye tuu ninekataa wasichana wengi sana kwa sababu ya kumheshimu mchumba Wang.

Ila kuhusu kuchepuka inatokeaga kwa nadra lakini kwa watu wa mbali mno
Ndio huyohuyo ulomsaliti kule mbeya? Basi kweli unamuheshimu.
 
Back
Top Bottom