Mashemeji wa kike ni jipu

Mashemeji wa kike ni jipu

unarudisha majeshi mia ya mia na mapenzi moto moto ya kuigiza akishakolea anza vimbwanga ila usichelewe sana kumpiga chini... hii ni adhabu kubwa sana..

na kama kuna mtu alikuwa anamtia kiburi make sure wanaachana ili ukimwacha awe na majuto .
mwangalie mwenzio udhaifu wake cheza nao
Huu ushauri natamani ningeutimiza mahali.

Nimeteswa na kademu flani, imepita miezi 5 sasa bado sijapona vizuri.

Ninauhakika nikurudisha majeshi kanarudi na nitaendelea kula bila shida.

Changamoto.
1. Sina hakika kama atakuwa na ubavu wa kumwacha jamaa, nahisi atakuwa anatembea na sisi kwa pamoja.

2. Naogopa nisije nikajikuta nimezama, ingawa sina uhakika kama nitamjali kama awali tena.

3. Namfukuzia mdogo wake mmojawapo nimle na yeye ajue iwe kama adhabu kwako.

4. Nipo karibu kula mtoto wa kaka yake na jamaa aliyenyang'anya huyu demu wangu, nataka nimle ndo nimjulishe jamaa ili naye imuume.

Ingawa namba 3 na 4 zitaumiza watu wasiohusika.

Mwalimu ushauri wako ni muhimu sana hapa
 
Hellow wanajamvi.

Nina mchumba wangu yupo chuo fulani hapa jiji la Bashite. Kiukweli Mchumba wangu huyu ni mzuri kiasi na ninampenda sana kutokana na moyo wake wa kujitolea. Nipo nae huu ni mwaka wa tatu.

Rafiki zake na huyu mtoto ambao ndio mashemeji zangu wamekuwa wakinitongoza. Hali hii ilifanya Mpenzi wangu kugombana na marafiki zake tokea akiwa kidato cha sita. Kila rafiki akimpata lazima anitongoze. Kutokana na kumheshimu Mchumba wangu sijawahi kumsaliti kwa kutoka na rafiki yake yeyote.

KILICHONIFANYA NIANDIKE:

Mwezi wa pili alipata rafiki yake mmoja ambaye wanasoma Kozi moja lakini Vyuo tofauti hapa hapa Dar.

Siku ya kwanza nilipoongea na Shemeji yangu mpya alinambia kuwa nina sauti yenye kumvutia mwanamke yeyote. Hilo sikushangaa kwani ilikuwa ni kawaida yangu kusikia hivyo kwa wanawake wengi niliopata kuongea nao kupitia Simu. Alinambia anataka akutane na Mimi aweze kuniona. Mimi nikamjibu asijali Shem wake nipo tuu na amwambie Mchumba wangu aje naye.

Shemeji akanizoea sana. Ikafikia hatua anaanza kuntumia picha za uchi kupitia What's app. Nilishtuka siku ile.
Niliona ninapaswa nizuie jambo lile mapema kabla halijakomaa.

Kuna siku nyingine alinipigia Kupitia Video call ya kwenye What's app akiwa anaoga bafuni. Alikuwa kavaa bikini huku maji ya bomba la mvua yakimmwagikia. Niliuona uzuri wake.
Moyoni pia nilikiri kuwa Yeye ni mzuri kupita Mchumba wangu ambaye ni Rafiki yake.

Baada ya kukataa kwa zaidi ya mwezi mmoja kukutana naye, Jana niliruhusu yeye kuja Ghetto. Shemeji alikuja na Mkoba(hand bag) ambapo ndani aliweka nguo. Alipofika alibadili na kwenda kuoga. Mimi nikaingia jikoni kukorofisha. Alitoka bafuni Mimi nikiwa Jikoni. Nilisikia Shem akiongea na simu wakati niko Jiko.
Mazungumzo nilioyasikia;
" (Jina la mchumba wangu) kuanzia Leo uachane na Michaelray, ananipenda na Mimi ninampenda. Umesikia (jina la mchumba Wang)"
Niliingia ndani kumfuata na kukuta ameshika simu yangu akiwa ameshaikata. Nilijua ameshampigia mchumba wangu kupitia simu yang.

Nikiwa namuangalia kwa hasira akiwa na kanga amejilaza kitandani Mara simu yangu ikaita. Kuangalia alikuwa Mchumba wangu. Tuliangaliana kisha nikamnyang'anya simu mikononi mwake na kukuta namba iliyokuwa ikiita kwenye simu yangu ilikuwa ya Mchumba Wang.

Nilibaki nimeishika mpaka ikawa imekatika. Akapiga tena ila sikupokea. Sikujua cha kusema muda ule.
Mara message ikaingia
"Nashukuru kwa yote Michael"
Ilikuwa ni message iliyosomeka kwenye simu ambayo ilipasua moyo Wang. Nilimkamata Shemeji na kumchapa makofi mawili mfululizo.

"Unanipiga kwa sababu nakupenda Michael?"
Shemeji aliongea akiwa ameshika mashavu yake yaliyolegezwa na makofi yangu.
Nikiwa nawaza nimfanye nini Mara bodaboda ikawa imesimama hapo nje ya geti. Punde mlango wa chumbani ukafunguka na Mchumba wangu akaingia akiwa rafu kiasi. Alisimama ukimya ukiwa umetawala kwa nukta kadhaa. Harufu Kali ya kitu kinachoungulia jikoni ndio ikawa ufunguo wa kufungua kufuli la kimya kile.
"Aaa! Nimeunguza"
Niliongea nikiondoka upesi kwenda jikoni. Nilienda kuepua mboga nilizozikuta katika hali mbaya.

Nikiwa jikoni. Nilisikia vishindo vya ngumi vikitoka chumbani. Nilirudi haraka na kuwakuta wanapigana.
Niliwakania.
"Unamtetea Malaya wako"
Mchumba wangu aliongea.
"Usiniite Malaya"
Shemeji alijibu akiwa anajifunga kanga kwani alikuwa kabaki na chupi tuu.

Nilipata wakati mgumu sana. Ilikuwa sio rahisi kumuaminisha Mchumba angu kuamini kuwa sijatoka na rafiki yake.

Swali ambalo nililiogopa ni kuwa;
Shemeji amepajuaje juaje ninapoishi kama sikumuita Mimi?
Swali jingine ni kuwa;
Shemeni atakujaje kwangu bila mchumba wangu kujua?

Nilichokifanya nilimwambia shemeji avae aondoke. Alikataa nilimpiga kofi la kichwa bila dalili ya huruma. Alianza kuvaa akilia huku akiapa kuwa Mimi na mchumba wangu tutaona. Nilotaka kumuongeza Kofi lakini mchumba wangu akaniwahi kunishika.

Shemeji aliondoka nikabaki na mchumba wangu ambaye bado usoni niliona sura ya mbogo aliyejeruhiwa wakati wa ukame. Alikuwa amekasirika mno.

Nilitaka kumueleza akataka kunizaba Kofi. Kwa bahati nikamdaka mkono.
Nikamuuloza unataka kunipiga Kofi?
Akawa amekaa kimya akiwa anahema kwa hasira.

"Ondoka kama hutaki kunisikiliza tusije zua mengine humu ndani"
Niliongea nikimaanisha.
Alitoka na Mimi nikarudisha mlango.

Mpaka Jana inaisha hakuja text wala call kutoka kwake.
Leo asubuhi kanitumia text
"Usinitafute"
Nikamjibu
"Sawa"
Akatuma nyingeni baada ya Masaa mawili.
"Ulikuwa hunipendi Michaelray"
Nikamijibu
"Sawa ila ukihitaji kunisikiliza nikuelezee unaweza kuja"
Akajibu.
"Sitakuja"
Nikamjibu
"Kila la kheri"

Jioni akapiga sijapokea, ametuma text kila kona. Sio What's app, sio Facebook si wapi.
Sijamjibu.

Akanitumia barua moja hivi niliyomuandikiaga akiwa kidato cha sita niliyomuahidi sitomuacha isipokuwa kwa kosa la Usaliti.

Nikampigia nikaongea maneno mafupi
"Ukiwa tayari kunisikiliza tukutane. Kwa sasa bado unahasira. Nakupenda mke wangu"
Mwisho.

My take: wanawake wenye tabia za kutongoza mashemeji zenu na kuharibia rafiki zenu na dada zenu muache
Haya kastori kamapenzi kazuri jitahidi kuweka vina basi
 
Huu ushauri natamani ningeutimiza mahali.

Nimeteswa na kademu flani, imepita miezi 5 sasa bado sijapona vizuri.

Ninauhakika nikurudisha majeshi kanarudi na nitaendelea kula bila shida.

Changamoto.
1. Sina hakika kama atakuwa na ubavu wa kumwacha jamaa, nahisi atakuwa anatembea na sisi kwa pamoja.

2. Naogopa nisije nikajikuta nimezama, ingawa sina uhakika kama nitamjali kama awali tena.

3. Namfukuzia mdogo wake mmojawapo nimle na yeye ajue iwe kama adhabu kwako.

4. Nipo karibu kula mtoto wa kaka yake na jamaa aliyenyang'anya huyu demu wangu, nataka nimle ndo nimjulishe jamaa ili naye imuume.

Ingawa namba 3 na 4 zitaumiza watu wasiohusika.

Mwalimu ushauri wako ni muhimu sana hapa
tatu na nne ndiyo nzuri kwako wrwe
 
Sina uhakika kuwa hii story ina ukweli. Ila kama ni kweli na hatimaye ukasamehewa na maisha kuendelea, basi jiandae kupigiwa mechi za nje. Huo uwezekano ni mkubwa sana. Amejua yuko na mwanaume wa aina gani. Atafanya homework yake.

Hata kama alikuwa anakuheshimu, huo ndio mwisho. Umefanya makosa makubwa...na sijui kwanini ulimpiga huyo shemeji yako. Wewe ndie uliyestahili kupigwa. You entertained everything!!
 
Hujatumia busara unavyomjibu mwenzio. Better ungemjibu tu ukiwa tayari kunisikiliza uje,hayo mengine unazdi kumuumiza. Wear her shoes and try to think angeweza kuli fix vipi umuelewe. Then cool her tamper na sio kujitia na wewe mbogo,haitosaidia. Na roho yako ya kutamani ilikuwa inaelekea kumu honjombora shemeji yako,umruhusu aoge kwake?? We nawe...Yaani wanaume sijui mkoje sometimes, mnakera.
 
bro sijui nakuteteaje hapo.. kila step uliyoelezea inaonyesha unakosea.. bad enough hata maumivu ya demu wako huyajali kisa unajua anakupenda... badilika man hawa wanawake wanabadilishwa tabia na sisi wanaume.. kumbuka hilo..!
Mwisho wa mapenzi huwa the more you love,the more you hate. At least you show humanity and definition of man. I like this
 
Sina uhakika kuwa hii story ina ukweli. Ila kama ni kweli na hatimaye ukasamehewa na maisha kuendelea, basi jiandae kupigiwa mechi za nje. Huo uwezekano ni mkubwa sana. Amejua yuko na mwanaume wa aina gani. Atafanya homework yake.

Hata kama alikuwa anakuheshimu, huo ndio mwisho. Umefanya makosa makubwa...na sijui kwanini ulimpiga huyo shemeji yako. Wewe ndie uliyestahili kupigwa. You entertained everything!!

Safi sana kwa muchango muzuri
 
Hujatumia busara unavyomjibu mwenzio. Better ungemjibu tu ukiwa tayari kunisikiliza uje,hayo mengine unazdi kumuumiza. Wear her shoes and try to think angeweza kuli fix vipi umuelewe. Then cool her tamper na sio kujitia na wewe mbogo,haitosaidia. Na roho yako ya kutamani ilikuwa inaelekea kumu honjombora shemeji yako,umruhusu aoge kwake?? We nawe...Yaani wanaume sijui mkoje sometimes, mnakera.

Usijali Mummy.

Kila kitu kipo oewky
 
Next tym usilaumu wanawake wanaojitongozesha..jilaumu wewe unaye wapa nafasi ya kukuzoea mpk mnachat na kukaribishana nyumbani..ungemzuia kuingia kwako yangetokea hayo
 
We naye kiherehere cha nini kumkaribisha mtu ambaye ushaona ni hatari kwa mahusiano yako?? Na mlizoeanaje adi mgeni siku ya kwanza anafika anaoga, chumbani kwa shemeji anaingia, khaaaa
 
Alafu ulivokuwa boya unatumia ubabe kwa mwenzio na kosa umelifanya wewe
 
Back
Top Bottom