Masheikh wako wapi? Nchi inapotea

Chadema hamna pakushika sasa mna kimbilia kwa Masheikh na Ma askofu
Kuna kitu sikifahamu katika akili za watanzania wengine,kwanini umeitia hii "post" kuwa alieandika ni mwanachama wa CHADEMA,kwanini kila kitu kiwe siasa..

Mkuu mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa,ni mtanzania ninae jijua,saisa za Tanzania kwangu ni mchezo wa kuigiza, CUF,CCM,CDM na vyama vyengine vya siasa wote kazi yao ni kubwa kuwalaghai na kurudisha nyuma watanzania kimawazo..

Wanasiasa wote wako kwa ajili ya matumbo yao sio kwa ajili ya wafuasi wao,kumbuka hili
 
Mkuu huyo ponda kapigwa risasi nyingi kuliko Ponda? Toa utetezi mwingine, huu ni dhaifu. Viongozi wa dini wa kiisilamu waamke, wangalau Ponda amewahi kukemea lakini propaganda zinapigwa kwamba yeye ni mvunja amani
mkuu bora ukaushe tu maana unaongea kimuhemko na kisiasa hapa.

waislamu mfano wajiingize katika kumkosoa magufuli nina uhakika tutajaa magerezani kwa ugaidi tena kinoma noma yaani bila kuona aibu wala nini tena tutafanyiwa kila aina ya unyama.

na wala sio waislamu wanakaa kimyaa sababu hawaoni au hawaumii ila wanaumia kimoyo moyo sana na wanajua chochote watakachokifanya kitafireback mara mbili.

Ndio maana hata sisi tunawategemea hao maaskofu waweze kumwambia maana wao hata wakiongea hatowafanya chochote watazozana yataisha.inshort watanzania wote tunwategemea hao maaskofu na harakati zao zinaweza zikazaa matunda ila sio waislamu wajiingiza katika huu mgogoro
 
Makafiri wanafki sana nyie,pambaneni na mkatoliki wenu huyo sisi tukiongeaa si tunauwawa kabisa kama ponda tu alikua anatetea mali za waislamu alipigwa risasi leo tumuongelee raisi tena raisi huyu tufwee..
Kwani ponda alipigwa risasi wakati wa utawala wa nani?
 
Bakwata ni taasisi ambayo iko kwa maslahi ya serikali na sio waislamu kama wengi wanavyo dai... Na asilimia kubwa ya waislamu hatuko pamoja na Bakwata kwa lolote...

Bakwata wanaangalia matumbo yao na sio vinginevyo
 
Huu ndio ukweli mkuu, unadhani hawajui, wanajua sana masheikh kitakachowasibu pindi watakapofungua mdomo wao
 
Tatizo vyuma vimekaza ndiyo wanaona maovu kana kwamba kuna jambo jipya,bila vyuma kukaza tusingesikia malalamiko.
 
Huu ndio ukweli mkuu, unadhani hawajui, wanajua sana masheikh kitakachowasibu pindi watakapofungua mdomo wao
Mkuu kama hawawezi kukosoa kwa kuogopa,basi wakosoe kwa njia ya kura,unafikiri itatokea nini kama nusu tu ya waislam wote Tanzania watakataa kuipigia kura CCM
 
Mkuu kama hawawezi kukosoa kwa kuogopa,basi wakosoe kwa njia ya kura,unafikiri itatokea nini kama nusu tu ya waislam wote Tanzania watakataa kuipigia kura CCM
Una hakika gani kama hawajaikataa, refer Znz
 
mnakumbuka VIDEO ya LIPUMBA akiwa msikitini akiwakumbusha waislamu wenzake wanajipangaje wakati wenzao upande wa pili washajipanga?

Kikwete 2005-2010 alitoa ahadi atawaanzishia Mahakama ya Kadhi akawapotezea?
waislamu wakakaa kimya

Kikwete aliwatuhumu baadhi ya waislamu kuwa walikalia itikafu wakaomba Dua afariki

wao ndio waislamu

Akija mkristu wanalalamika kuwa anawaonea
akija muislamu wanafurahia hata kama atawakandamiza wanasema Mwenzetu

ila kuna maneno mengi sana chini chini ya kumlaumu Magu
 
Si nasikiaga payroll ya BAKWATA iko serikalini.sasa na mjinga wa hivyo anaweza kukorofishana na mshahara wake mwenyewe
 
Ni vyema kutochanganya Dini na Siasa
 
Makafiri wanafki sana nyie,pambaneni na mkatoliki wenu huyo sisi tukiongeaa si tunauwawa kabisa kama ponda tu alikua anatetea mali za waislamu alipigwa risasi leo tumuongelee raisi tena raisi huyu tufwee..
UBUNTU X. Tafadhali usituite jina la makafiri, vitabu vyenu vinafundisha mtupende tusio waislam. sasa kwanini unakengeuka?Tuombe radhi.
 
Masheikh wakiongea wanapotezwa waache tu wawe kimya mpaka reign of terror itakapopita.
 
Masheikh wanaogopa, kila wakiwaangalia wenzao wanaoozea magerezani hasa Hawa bakwata wao kila kitu wako upande WA serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…