Kwa sababu waislam hampo pamoja katika kugombania haki zenu,,,Makafiri wanafki sana nyie,pambaneni na mkatoliki wenu huyo sisi tukiongeaa si tunauwawa kabisa kama ponda tu alikua anatetea mali za waislamu alipigwa risasi leo tumuongelee raisi tena raisi huyu tufwee..
Kama baraza sio la kiislam kwanini waislam hawakai pamoja na kulikataa,kwanini waislam wanamchagua mtu ambaye wanajua atawasulubu,waislam hawana umojaUnajifanya kiziwi wa upande mmoja wa dini fatilia utona uonevu uliopo asubutu Sheikh kuongea atawakaribisha wenzie Kina Kakobe sero na ninani kakuambia hilo baraza ni la waisilamu una changanya jumuia za kiisilamu na jumuia za chama tumuombe Mungu viongozi wageuke na kuongoza nchi kwa misingi ya sheria bila ubaguzi
Kesi ya Ugaidi haina uzamini,Tanzania kuna waislamu wangapi? kama watakaa pamoja sifikirii kama serikali ina uwezo wa kuwaweka waislam wote ndani na kuwafungulia kesi ya Ugaidi..Siku hizi Kesi ya Ugaidi inawazamini?
Kwanini wakae kimya Mkuu,Waislam wana historia kubwa katika nchi ya Tanzania,ukimya ni woga,ukimya ni unafiki,ukimya ni dharau wakati unaona waislamu wenzako wanatesekaWaislamu wana majanga yao na kila wakiyaongeo wanaonekana hawana elimu na ni wa dini,wanataka kufanya Tz ni nchi ya kiislamu. Sasa wakikaa kimya pia bado wanaongelewa!
POST YAKO IMEJAA UDINI! SI MNASEMAGA MASHEIKH WANACHANGANYA DINI NA SIASA, SASA WAMENYAMAZA MNATAKA WASEME, TAFUTENI GLIS YA AINA NYENGINE ....
Wewe unajua hao masheik yanayowakumbuka katika hii nchi? au kisa wewe vyuma vimekaza ndiyo unakuja kulalamika humu?Kwanini wakae kimya Mkuu,Waislam wana historia kubwa katika nchi ya Tanzania,ukimya ni woga,ukimya ni unafiki,ukimya ni dharau wakati unaona waislamu wenzako wanateseka
Masheikh wanayakumba mengi kwasababu waumini,au wafuasi wako kama wewe waoga,uoga ni adui wa maendelo,kumbuka unazaliwa,unaishi,unakufaWewe unajua hao masheik yanayowakumbuka katika hii nchi? au kisa wewe vyuma vimekaza ndiyo unakuja kulalamika humu?
Makafiri wanafki sana nyie,pambaneni na mkatoliki wenu huyo sisi tukiongeaa si tunauwawa kabisa kama ponda tu alikua anatetea mali za waislamu alipigwa risasi leo tumuongelee raisi tena raisi huyu tufwee..