Miungu watu wabaya sana. Hii kesi hata haifanyiki wamewaweka huko mahabusu sijui mwaka wa ngapi sasa. Utawala bora Tanzanian style. Yaani kwa data za leo mahabusu ni wengi kuliko wafungwa.
Aah Amani tena-napata wasi wasi pale watu wanapolilia amani lakini sio haki.Hawa mashehe acha tu waendelee kukaa rumande. Tuna amani wakiwa mahabusu. Waislamu na mashehe wa kawaida na hata mapadre hawauawi. Wakae tu ndani kwa amani ya Zanzibar
Mkuu mgekuwa na chembe ya kufikiri hii leo tusingekuwa tunajadili hili.Kinachowagharimu Mashekhe we ukijui?Taifa linataka kuwa moja wewe unahubiri utengano,Wao ni watu wa Mungu basi wahubiri neno la Mungu.Wao sio wasemaji wawazanzibar,siku nyingine viongozi wa dini waweze kutenganisha Siasa na Dini.Gwajima yalitaka kukumkuta ya hao Mashekhe akarudi kwenye mstari mapema.Siku nikiingia Mimi madarakani mtakufa wengi kwa hii michezo yenu.Lazima tuwe na mipaka na Uzalendo.Huu ni uzwazwa wa kiwango cha standard gauge. Kwanini walikamatwa kama ushahidi haujakamilika? Kwa hiyo huo ushahidi usipokamilika ndio watashikiliwa milele?
Hebu tumia akili zako hata kidogo basi...
Kwa waislamu kuna mipaka kati ya dini na siasa lakini kwa kanisa wao ruhusa kusema chochote kile fuatilia kanisa la kkkt
Lakini kumbuka wale ni binaadamu kama wewe na fahamu hii dunia ni njia hakika M'mungu ndie hakimu muadilifu sisi sote mwisho wetu kaburini na ndio mwisho wa maringo yetu
Sijazungumzia hilo ila nimejiuliza zile fujo zimeishia wapi?Kwa hiyo wewe unaona ni sahihi tu hao watu kuendelewa kushikiliwa kwa miaka mingi bila kupelekwa mahakamani?
hawakukamatwa kwa sababu ya uislam wao na hawakuwa wakitetea uislam wao bali UZANZIBAR wao na MUUNGANO!
!
Adui Wa Mwislam Ni Mwislam Mwenzake. Walikamatwa Enzi Za Kikwete Hawa Wana Kama Mwaka Wa Kumi Na Nasikia Wameteswa Haswa Hawa Jamaa.
Mkuu mgekuwa na chembe ya kufikiri hii leo tusingekuwa tunajadili hili.Kinachowagharimu Mashekhe we ukijui?Taifa linataka kuwa moja wewe unahubiri utengano,Wao ni watu wa Mungu basi wahubiri neno la Mungu.Wao sio wasemaji wawazanzibar,siku nyingine viongozi wa dini waweze kutenganisha Siasa na Dini.Gwajima yalitaka kukumkuta ya hao Mashekhe akarudi kwenye mstari mapema.Siku nikiingia Mimi madarakani mtakufa wengi kwa hii michezo yenu.Lazima tuwe na mipaka na Uzalendo.
Aah Amani tena-napata wasi wasi pale watu wanapolilia amani lakini sio haki.
Mkuu, Rais hatoi msamaha kwa mahabusu
Kama unajua kuwa mwisho wetu kaburini yanini ulielieLakini kumbuka wale ni binaadamu kama wewe na fahamu hii dunia ni njia hakika M'mungu ndie hakimu muadilifu sisi sote mwisho wetu kaburini na ndio mwisho wa maringo yetu
Hopeless kabisa wewe, hujui tofauti ya mfungwa na mahabusu.Nimesikia rais magufuli katoa msamaha ila kwenye msamaha huo sijasikia kusamehewa masheikh wetu wa uamsho najua kusema ukweli kwao ndo imekuwa tatizo ila naimani ipo siku mungu ataleta neema yake watatoka
Sasa Marekani inahusikaje hapa. Hii ina'water down' hoja yako.Unataka Tanzania nchi huru yenye utawala wake ikopi kila kitu kutoka marekani?KWANI MAREKANI NA NCHI NYINGINE ZIMEWAWEKA GEREZANI WATU WA AINA HII KWA MIAKA MINGAPI? SI NI BADO WAPO KWA AJILI YA USALAMA WA NCHI? FIKIRIA ZAIDI. WEWE UNAWATAKA WA NINI HAUSWALI MPAKA WAWEPO? ENDELEA KUMWOMBA MUNGU WENU ILI AFUNGULIWE NA WENGINE WAOMBE WASIFUNGULIWE TUTAJUA UKWELI NI NANI.
Kama unajua kuwa mwisho wetu kaburini yanini ulielie
Hopeless kabisa wewe, hujui tofauti ya mfungwa na mahabusu.
Punguza mihemko ya udini.
Hopeless kabisa wewe, hujui tofauti ya mfungwa na mahabusu.
Punguza mihemko ya udini.
Wakiri nini?Mahabusu wa uhujumu uchumi walisamehewa baada ya kukiri makosa, nao wakiri wasamehewe.
Wakati masheikh wa UAMSHO wakilalamikia mateso ya magerezani wanafanyiwa vitendo vya kishinzi na askari jela, watu walikua wanawakejeli kisa dini yao. Leo viongozi wetu wa Chadema nao wameingia kwa masaa 48 tu wametendewa uhuni wa hali ya juu kama wanavyoeleza wenyewe.Nimesikia rais magufuli katoa msamaha ila kwenye msamaha huo sijasikia kusamehewa masheikh wetu wa uamsho najua kusema ukweli kwao ndo imekuwa tatizo ila naimani ipo siku mungu ataleta neema yake watatoka
Kunguni hebu nikumbushe. Hawa masheikh tuhuma zao ni nini?Wakati masheikh wa UAMSHO wakilalamikia mateso ya magerezani wanafanyiwa vitendo vya kishinzi na askari jela, watu walikua wanawakejeli kisa dini yao. Leo viongozi wetu wa Chadema nao wameingia kwa masaa 48 tu wametendewa uhuni wa hali ya juu kama wanavyoeleza wenyewe.
View attachment 1388771
Sent using Jamii Forums mobile app