shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,191
- 2,119
Tatizo hao mashekhe wetu ni mapandikizi wa siasa ndani ya dini, amani ni muhimu zaidi kuliko ajenda za kidini-siasa za watu wasiozidi kumi.Nimesikia rais magufuli katoa msamaha ila kwenye msamaha huo sijasikia kusamehewa masheikh wetu wa uamsho najua kusema ukweli kwao ndo imekuwa tatizo ila naimani ipo siku mungu ataleta neema yake watatoka
Askofu Munga, Askofu bagonza, pengo,ShooTatizo hao mashekhe wetu ni mapandikizi wa siasa ndani ya dini, amani ni muhimu zaidi kuliko ajenda za kidini-siasa za watu wasiozidi kumi.
Wataka amini yule shehe wa dar anaemfagilia makondaTatizo kubwa la wazanzibar ni kuamini uamsho.ni waislam safi !!..
Marikani inawaweka wapi?Kama wanakosa kwa nini hawafungui kesi na kuiendesha badala yake serikali imepiga mute. Tuna hakika gani kama kweli wanakosa au yako mengine nyuma ya pazia? Utajuaje ukweli kama hakuna kesi?KWANI MAREKANI NA NCHI NYINGINE ZIMEWAWEKA GEREZANI WATU WA AINA HII KWA MIAKA MINGAPI? SI NI BADO WAPO KWA AJILI YA USALAMA WA NCHI? FIKIRIA ZAIDI. WEWE UNAWATAKA WA NINI HAUSWALI MPAKA WAWEPO? ENDELEA KUMWOMBA MUNGU WENU ILI AFUNGULIWE NA WENGINE WAOMBE WASIFUNGULIWE TUTAJUA UKWELI NI NANI.
Hao sio mashekhe ni wahuni tu waliojivisha ushekhe ndani yake.Mashekhe ni wale wanaowafundisha watu kuacha maovu na kumtafuta Mungu tukiishi kwa kuvumiliana na upendo mkubwa.Ukiona mtu anaeneza chuki,utengano basi huyo ni mhuni Kama wahuni wengine.Kama Kuna Shekhe na hakutendewa haki Basi muda utafika na atatoka.
Kwanii hawajahukumiwa hadi leo?Kwani walishahukumiwa? Hivi walikamatwa kipindi ambacho rais ni mwislamu eeeh. Ingekuwa kipindi hiki sasa mahubiri yangekuwa ni mfumo kri....
Unapomuweka mtu gerezani bila kumfikidha mahakamani huoni kama hapo unavunja haki za binaadamu? Unamfungaje mtu ambae hana kosa? Kama anakoda kwanini asishtakiwe na kuhukumiwa?KWANI MAREKANI NA NCHI NYINGINE ZIMEWAWEKA GEREZANI WATU WA AINA HII KWA MIAKA MINGAPI? SI NI BADO WAPO KWA AJILI YA USALAMA WA NCHI? FIKIRIA ZAIDI. WEWE UNAWATAKA WA NINI HAUSWALI MPAKA WAWEPO? ENDELEA KUMWOMBA MUNGU WENU ILI AFUNGULIWE NA WENGINE WAOMBE WASIFUNGULIWE TUTAJUA UKWELI NI NANI.
mbna hamuwapeleki mahakamani.... mnawashikilia hiyo miaka yote kwa sheria gani?Tatizo kubwa la wazanzibar ni kuamini uamsho.ni waislam safi !!..
1.Kwani Kesi yao imeshaisha?
2.Na kama imeshaisha, walihukumiwa miaka mingapi?
3. Msamaha umetolewa kwa wafungwa waliobakiza muda gani?
!
!
Adui Wa Mwislam Ni Mwislam Mwenzake. Walikamatwa Enzi Za Kikwete Hawa Wana Kama Mwaka Wa Kumi Na Nasikia Wameteswa Haswa Hawa Jamaa.
uwe na majibu ya maswali haya... lini walipelekwa mahakamani na nini kinaendelea....Siwezi kumtetea mtu anayetaka kuhatarisha amani ya nchi hata kama ni muislam au mkristo mwenzangu,kwa hilo suala siyo la kisiasa.
KWANI MAREKANI NA NCHI NYINGINE ZIMEWAWEKA GEREZANI WATU WA AINA HII KWA MIAKA MINGAPI? SI NI BADO WAPO KWA AJILI YA USALAMA WA NCHI? FIKIRIA ZAIDI. WEWE UNAWATAKA WA NINI HAUSWALI MPAKA WAWEPO? ENDELEA KUMWOMBA MUNGU WENU ILI AFUNGULIWE NA WENGINE WAOMBE WASIFUNGULIWE TUTAJUA UKWELI NI NANI.
Makosa yao ndio yanawafanya waendelee kusota ndani.Kinachoangaliwa ni usalama wa nchi na sio nafasi zao kwenye jamii.Umesema ni zaidi ya miaka sita Sasa hivi ujiulizi aliyewaweka ndani ni muislamu mwenzao rais wa awamu ya nne yeye hakutambua nafasi zao kwenye jamii?Kwa Nini wengine wapate msamaha mpaka wahujumu uchumi lakini wao bado? Mashekhe wako wengi Tena wengine wakosoaji wa serikali lakini wanadunda tu,kwa nini iwe wao?Waligusa sehemu sio.Usiongozwe na mihemko chukua muda tafakari.
Kweli umenena, weka ndani muda ukifika atatoka. Yaani unajipa madaraka ya kuweka watu ndani kwa muda usiojulikana wakati hata katiba haikupi madaraka hayo. Wakiulizwa hati uchunguzi haujakamilika-zaidi ya miaka sita sasa. Cha ajabu unatetea ujinga huu, sasa mahakama yanakazi gani? Au ni kuwaangalia sura zao.
Umechanganya,,uamsho walikuwa wamebase Zanzibar na tatizo lilianza walipoanza kuniingiza kwenye siasa na kuhoji muungano,kabla ya Happ,uamsho ilikuwa ni taasisi yenye Hadi registration Kama sikoseiKwani walishahukumiwa? Hivi walikamatwa kipindi ambacho rais ni mwislamu eeeh. Ingekuwa kipindi hiki sasa mahubiri yangekuwa ni mfumo kri....
Siwezi kumtetea mtu anayetaka kuhatarisha amani ya nchi hata kama ni muislam au mkristo mwenzangu,kwa hilo suala siyo la kisiasa.
Hao sio mashekhe ni wahuni tu waliojivisha ushekhe ndani yake.Mashekhe ni wale wanaowafundisha watu kuacha maovu na kumtafuta Mungu tukiishi kwa kuvumiliana na upendo mkubwa.Ukiona mtu anaeneza chuki,utengano basi huyo ni mhuni Kama wahuni wengine.Kama Kuna Shekhe na hakutendewa haki Basi muda utafika na atatoka.
kazi ya mahakama ni nini?Makosa yao ndio yanawafanya waendelee kusota ndani.Kinachoangaliwa ni usalama wa nchi na sio nafasi zao kwenye jamii.Umesema ni zaidi ya miaka sita Sasa hivi ujiulizi aliyewaweka ndani ni muislamu mwenzao rais wa awamu ya nne yeye hakutambua nafasi zao kwenye jamii?Kwa Nini wengine wapate msamaha mpaka wahujumu uchumi lakini wao bado? Mashekhe wako wengi Tena wengine wakosoaji wa serikali lakini wanadunda tu,kwa nini iwe wao?Waligusa sehemu sio.Usiongozwe na mihemko chukua muda tafakari.