Masheikh wa Lowassa feki

Masheikh wa Lowassa feki

Mamvi atawasumbua sn safari hii.......na bado mpk chama kitapusaka kabisa km hawatomuita na kumtuliza kwa nguvu zote. We unafikiri alivokua anaambiwa kua ajivue gamba alikua anapenda?
 
Ni wapi ambapo hao mashehe walisema wao ni viongozi wa waislam Bagamoyo au wanawakilisha BAKWATA?

Wanadaiwa katika watu 50, mashehe wa ukweli walikuwa watatu tu, kwani wao walisema walikuwa mashehe mia mbili?

Gazeti hili nalo linaandika tu kupata kuuza. Sasa wanakubali kulikuwa na mashehe "wa ukweli" watatu. Idadi ya mashehe waliokwenda sio issue kabisa, fact ni kwamba kulikuwa na mashehe, na walikwenda kumshawishi agombee. Hayo mengine ni tofauti tu za kimtazamo na kimaslahi baina ya hao watu na waumini wa kiislamu huko Bagamoyo.

Raia Mwema wana uandishi ule ule wa magazeti ya kitanzania.
 
Pasco Njoo umjibie mamvi na hili pia.

Kama makundi yote hayo yamekwenda, na bado maamvi anajiona keki hatangazi nia, inabidi sasa sijui aende nani ndio atashawishika?
 
Last edited by a moderator:
Amini maneno yangu..kama ilivyokuwa ngumu kutambua rangi halisi ya kinyonga....ndivyo ilivyokuwa kwa kuwatenganisha wana CCM na ufisadi kwani kwao ni tukio lenye heshima.........by the way.....akili kumkichwa...........

I agree..kwa sasa mtu kujiita msafi na bado yupo CCM naweza mfananisha na mtu aliyetoka chooni - tena vile vya umma visivyosafiwa - na kusema hanuki.

None the less bado sitatumia chama cha mtu kama kigezo cha kumpa kura YANGU...i guess that was my point.

Nimeepuka kutaja vyma nisijedumbukia kwenye the same dimbwi la uchama linalotukumba Watanzania.
 
Mamvi atawasumbua sn safari hii.......na bado mpk chama kitapusaka kabisa km hawatomuita na kumtuliza kwa nguvu zote. We unafikiri alivokua anaambiwa kua ajivue gamba alikua anapenda?

huu ndo muda wake wa kuvua gamba asipolivua anazama nalo na ndio unakuwa mwisho wa sinema yake
 
Nchi itapata laana kwa mara ya pili baada ya kikwete km mamvi jambazi sugu atakuwa rais
 
Sasa huyu ndio awe rais? Hata uwezo wa kufikiria na kupambanua hana. Ukizungukwa na watu kama kina kapuya ujue hufai kua rais
 
Lowasa hafai kua rais Mwalimu Nyerere alishamkataa kwa kua ni fisadi. JK akayapuuza maneno ya Mwalimu akamjaribu kwa kumpa uwaziri mkuu wote tunajua deal za kifisadi alizocheza. Sasa tunataka kumjaribu kwa urais hivi watanzania Tumelogwa?
 
Huwezi kumjaribu jambazi kwa kumuonyesha ulipoficha hela atakuibia tu. Watanzania tusimjaribu fisadi kuongoza nchi atafisidi tu. Anaweza uza hata ikulu. Huwezi kuwa na tamaa ya kujilimbikizia mali halafu utegemee utakua rais mzuri
 
Nchi itapata laana kwa mara ya pili baada ya kikwete km mamvi jambazi sugu atakuwa rais

ANATOKA MSANII... WANAINGIZA MPIGAJI.... patachimbika mwaka huu LIWALONALIWE....
WAPI MWIGULU????
 
Mpwa hizi sinema tamu sana jana Nape kamsifu EL .

Tanzania ni drama queen,sasa amesifiwa kweli kweli kwamba ameonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuyapiga stop makundi hayo yanayomuendea,mpaka ifike October kwakweli tutaona na kusikia mengi.
 
I agree..kwa sasa mtu kujiita msafi na bado yupo CCM naweza mfananisha na mtu aliyetoka chooni - tena vile vya umma visivyosafiwa - na kusema hanuki.

None the less bado sitatumia chama cha mtu kama kigezo cha kumpa kura YANGU...i guess that was my point.

Nimeepuka kutaja vyma nisijedumbukia kwenye the same dimbwi la uchama linalotukumba Watanzania.
CCM ni sawa na ukoo wa nyoka....yeyote kati yao hakuna mwenye afadhali....wapo kwa ajili ya maslahi yao na vibaraka wao na sio kwa ajili ya nchi...wenhgi wao wanaamini katika kununua uongozi kwa gharama kubwa na sio kujiuza kwa sera......ndio maana kila siku tunasikia malalamiko ya rushwa au takrima kama wanavyopenda kuiita hata kwenye chaguzi zao za ndani.........ripoti za matumizi makubwa ya fedha kwenye chaguzi zinashtusha huku ikiwa haifaahamiki kuwa hizo fedha zimetoka wapi.....CCM kimekuwa kijiwe cha wanyang"anyi na wabaka uchumi.....wakulima na wafanyakazi sio tena kaulimbiu ya chama bali wafanyabiasha na matapeli ndio wanaokumbatiwa na chama.....kwa muundo huo haiwezi kuwa ni ajabu kwa CCM kuchekelea UFISADI kwa kuwa huko ndio chimbuko lake.......
 
Ndio maana wakifika huko sinema inaendelea. Waigizaji sisi na watazamaji sisi, hata sinema ikiwa mbaya hakuna wa kusema ni mbaya wote tumeamua kuwa waigizaji. Tunashusha hadhi na viwango vya viongozi sisi wenyewe ndio maana tunaishia kupata makapi.

Ninaimagine ni nguvu na muda kiasi gani umetumika kuaandaa haya maigizo, watu tumekosa mambo muhimu ya kufanya, tumefikia hatua ya kujisanii wenyewe?

Mkuu wapo anawaigizia CCM wenzake, sie wala hatuhusiki kwenye hiyo sinema. Wacha wauwane wenyewe tu
 
Kuna kitu cha kuchekesha sana kwenye hili sakata la EL! WOGA!!Anaogopwa na chama, anaogopwa na serikali anaogopwa na system
 
Back
Top Bottom