Masheikh wa Lowassa feki

Masheikh wa Lowassa feki

Kuna MOD yuko busy kwenda kufukunyua threads zangu za nyuma. Endelea na mkakati wako, ila kwa taarifa yako hakuna popote pale ambapo utakuta contradiction ya aina yoyote ile kuhusu hizo threads ulizoamua kwenda kuzifukunyua. Kila la heri kwenye mkakati wako.
Badala ya kulaumu ubongo wako, unaanza kulaamu MOD.

Kwani MOD ndio walikuambia ulete thread au utoe comment?

Wakati unatoa komenti zako hukufahamu kama kuna MOD?

You're just reaping what you sow!
 
Nilivyo muelewa BAK ni kuwa hazikani threads zake wala posts zake na nyingi akimshutumu lowasa kuwa ni fisadi so hata alipokwenda chadema yeye BAK aliendelea kumuona kwa jicho hilo hakuwahi kumsafisha.
Sasa anasema mwenye thread yoyote inayo muonyesha BAK akimpaka sabuni lowasa watu waiweke ndio nadhani hoja yake ya msingi imelalia hapo .
Mkuu hata Mimi nimemuelewa kiasi Fulani kumuita mnafiki ni kumkosea
 
Badala ya kulaumu ubongo wako, unaanza kulaamu MOD.

Kwani MOD ndio walikuambia ulete thread au utoe comment?

Wakati unatoa komenti zako hukufahamu kama kuna MOD?

You reap what you sow!
JF kiboko.
Mbivu na mbichi ziko humu humu
 
Kuelekea kwenye uchaguzi mkuu....waTANGANYIKA tutashuhudia vioja vingi sana....vingine vya kushangaza na vingine ni vya kustaajabisha....lakini lengo likiwa ni moja tu....kuupigania ufalme...kuna baadhi ya viongozi wanaowania huo ufalme wanatupa mashaka na wasi wasi kutokana na haraka na pupa zao kuelekea kwenye kiti cha Enzi.....tunatakiwa tutumie fikra zetu kujua kuwa kwanini...wana haraka sana..?? Hiyo haraka inatokana na nini...?? Je ni huruma walionayo juu ya matatizo yetu ndio inayowafanya kuwa na haraka sana kuelekea kwenye kiti cha Enzi......na kwanini huruma hiyo hiyo iwe katika kipindi hichi na sio kipindi kingine....?? Wengi wao si wageni katika uongozi, wamewahi kushika nyadhifa mbali mbali hapa nchini....je uongozi wao ulikuwa na tija gani kwetu kama wananchi...?? Kwanini leo waonekane kuguswa sana na matatizo yetu ambayo wanayafahamu tangu miaka mitano iliyopita na mengine wameyaongeza wao wenyewe.....??.....Ndugu zangu WATANZANIA ,walala hoi wenzangu , wakina baba kabwela wenzangu, wakina pangu pakavu wenzangu, hichi ni kipindi ambacho tunapaswa kutumia akili zetu na ufahamu wetu bara bara....mateso tuliyopitia kwa kipindi cha miaka mitano kama vile ,huduma duni za afya, miundo mbinu mibovu, kutokuwa na umeme wa uhakika hivyo kusababisha shughuli nyingi za kimaendeleo kusimama mara kwa mara....., usimamizi mbovu wa rasilimali zetu unaopelekea tuzidi kuwa mafukara na kugeuka kuwa omba omba ndani ya nchi yetu wenyewe huku tukishuhudia wageni wakineemeka vilivyo kutokana ukiritimba unaofanywa na viongozi wetu, huduma duni za ulinzi na usalama wa raia na mali zake na kukithiri kwa rushwa kwenye idara hiyo nyeti hali inayofanya kupatikana kwa haki kwa sisi wanyonge kuwa ni kitendawili.....wizi unaofanywa kwa wazi wazi wa kodi zetu......hapa naongelea mambp ya ESCROW na mambo mengine yanayolifanya taifa lichechemee.......Mateso hayo yatupelekee sisi kufanya maamuzi ya busara siku ya uchaguzi hapo oktoba.......uamuzi ni wetu kuamua yale mateso na mahangaiko yajirudie kwa kuwachagua wale wale waliotusababishia matatizo hayo...au kuwachana nao na kuwaweka wengine..wanaoonyesha kuguswa na matatizo yetu......tukumbuke kuwa kosa tutakalolifanya kipindi hiki...litatughalimu miaka mitano ijayo......AMKA MTANZANIA,..........

aisee!
 
kamanda,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Kuna Watu wanadhalilika sana kwa kupuuza kuweka Akiba ya Maneno
 
Tulimpinga kila mwanaccm , ukileta yaliyopita haitasaidia chochote , tumeanza ukurasa mpya , ccm siyo chadema .
Ha ha ha...kwa hiyo wewe unapinga tu (hata walio sahihi) kwa kuwa ni mwana ccm.
Na unashabikia mambo hata yaliyo mabovu kwa kuwa ni mwana chadema?
Nyie ndo mnaotuharibia nchi na hili jukwaa.
Kumpinga kote Lowassa wakati ule kumbe ilikuwa ni kwa sababu tu ni mwana ccm? Kamtake radhi...
Katika vitu vilivyomkosesha Lowassa kura nyingi ni huu ukigeugeu wa chadema.
Angeingia chama kingine na sio chadema angefanya vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom