Mashehe wa Uamsho, nani alaumiwe kati ya Serikali ya Rais Kikwete, Magufuli na Samia?

hich ni moshi hawa jamaa walikuwa karibu 40 wengine wako mombasa mwanza arusha tanga dodoma mpaka lindi. na ndio maana vikaibuka vikundi vyingi tu vya kareti.
Vikundi vya kareti havihusiani na hayo mambo, swala ni kwamba hata hao wanaohisiwa ni magaidi hawajihusishi na hivyo vikundi, na hata mafunzo yao huchukulia maeneo ya Somalia. Hivyo vikundi vya kareti ni vijana tu wa mitaani aidha wana mafunzo ya kareti ndipo wameamua kuwafundisha wengine. Hakuna gaidi anaechukua mafunzo wazi wazi, mafunzo yao yote huwa ni siri sana.
 
Muisilamu kutetea hao mashehe kwa kigezo cha dini, basi utakua huijui dini vizuri. Ugaidi ni ugaidi na hakuna dini inayosupport ugaidi. Magaidi wengi wanatumia kivuli cha dini ili kupata social support na justification ya uovu wao.
Ugaidi ni wa kukemewa, Leo utafurahia padri kuuawa au kanisa kuchomwa ila kesho watapiga shule ambayo hata kijana wako anasoma, watalipua majengo ya biashara ambayo yanashiriki kukupa kipato, watalipua ofisi, masoko nk, ambayo athari yake haiangalii dini!
Ugaidi ni wa kupingwa kwa nguvu zote bila kuangalia dini!
Hivi magaidi huwa na taasisi iliyosajili rasmi na serikali au huwa ni watu wanaojulikana hadi wanamoishi?
 
Vikundi vya kareti havihusiani na hayo mambo, swala ni kwamba hata hao wanaohisiwa ni magaidi hawajihusishi na hivyo vikundi, na hata mafunzo yao huchukulia maeneo ya Somalia. Hivyo vikundi vya kareti ni vijana tu wa mitaani aidha wana mafunzo ya kareti ndipo wameamua kuwafundisha wengine. Hakuna gaidi anaechukua mafunzo wazi wazi, mafunzo yao yote huwa ni siri sana.

Iweje wajifunzie misikitini?
 
Iweje wajifunzie misikitini?
Nchi kama China, Japan wanajifunzia wapi Karate na Shaolin? Kwenye temple au maeneo mengine.
Elewa kwanza karate ni mchezo kama michezo mengine na upo kwa ajili ya kukujengea self defence, na kiuhalisia anajua hiyo michezo, kwanza hawi mshari na wala hapendi ugomvi.
 
Yani mmekosa sehemu zote za kufanyia mazoezi mpaka mkafanyie kwenye nyumba ya ibada?

Mmeshastukiwa !
 
Mambo ya uchochezi...

Na waliambiwa kuachiwa labda yeye akiwa hayupo kabisa...
 
Kama ilivyo hapo juu, wale Mashehe wa Uamsho walikamatwa Enzi za Rais Kikwete, lawama zikaja kwenye Serikali ya Mwendazake, saa hizi zimeelekezwa kwa Mama wakati mhusika mkuu yupo.

Sijawahi kusikia akiulizwa ni kwa nini hao watu waliwakamatwa kipindi cha uongozi wake, walikuwa wana makosa yapi?

Saa hizi amekuwa akipambwa kuwa alikuwa Kiongozi mzuri, lawama za hao Mashehe inabidi ipewe serikali ya awamu ipi?
Masheikhe wamekamatwa wakati wa Shein kwa Zanzibar na wakati wa kikwete kwa Mungano.

Masheikhe walikuwa wanaeleza khasara za mungano,na walikubalika sana kutokana na hoja wanazotoa.
Na ilionekana kuwa vyama vya upinzani vina weza kupata wapiga kura wengi kutokana na mihadhara ya hawo masheikhe.

kwa hivyo waka wa kamata karibu na uchaguzi ili kuvunja hoja zao.
Nakumbuka kada mmoja wa CCM alisema na sie CCM tutumie masheikhe kupinga zile hoja za uamsho na kuonesha kuwa Mungano unafaida.
Lakini CCM walitumia nguvu kupinga hoja badala ya hoja.

Sharia za Zanzibar walikuwa ghawo masheikhe wanapata dhamana ndipo wakuu waserikali ya SMZ waka amua kuwapeleka bara sababu wanajuwa watasota mahabusu.

DPP wa Bara kwa mujibu wa sharia alikuwa awakatae. Kikwete alikuwa anayo haki ya pia kuwakataa.
Kuna wakati fulani Pinda aliulizwa kuhusu suala la Ugaidi. Akajibu tanzania haukna ugaidi wala hatuna washtakiwa wa ugaidi.
Bado wakati huo kesi yao haijageizwa kuwa magaidi. mwanzo walikamartwa kama wanaleta Uchochezi.

Magufuli aliwahushisha masheikh na vifo vilivyo kuwa vikitokea Kibiti wakati wapo ndani Segerea.
Sasa kesi imeanza lakini Dpp anaiendesha kwa upole sana na ubabaishaji mwingi has baada makosa 14 kufutwa.
Makosa yalobaki ni 11 ambayo wanashtakiwa wakati wapo ndani.

Tusubrini kesi inavyo kwenda
 
Kwa vipi?

Kwani waliwaonea?

Kwanza ikumbukwe Uraisi ni taasisi.

Kuna vyombo vya ulinzi na usalama hao nao wanajukumu kubwa la kuamua juu ya mambo hayo.

Mimi naona si sawa kueneza chuki na lawama kwa Kikwete na Shein kuhusu hao watuhumiwa.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndiyo iliyowashitaki na ndo mlalamikaji .

Tufikirie kwa mapana zaidi.
Kwani Rais hakuwa na mamlaka ya kufuta au kukataa kesi kma hizi za kusingiziana?
 
Wajilaumu wao wenyewe kwa kuendesha harakati haramu zilizosababisha mashehe,mapadri, watalii na askari kumwagiwa rindikali/kuuawa
 
Swali la kipuuzi sana hili!!??
utalaumu vp serekali kwa kukamata wahalifu!!??
Jibu la mjinga kweli, mhalifu huwa anapelekwa mahakamani na akipatikana na hatia anafungwa, zaidi ya miaka 9 watu wapi ndani, na Hadi Leo hawajapatikana na hatia unaona ni Sawa?
 
Blacks Wana roho mbaya sana unamuweka ndani blakcks mwenzio 8 yrs huku nyumba za ibada unashiriki kufanya nn sasa
 
Muisilamu kutetea hao mashehe kwa kigezo cha dini, basi utakua huijui dini vizuri. Ugaidi ni ugaidi na hakuna dini inayosupport ugaidi. Magaidi wengi wanatumia kivuli cha dini ili kupata social support na justification ya uovu wao.
Ugaidi ni wa kukemewa, Leo utafurahia padri kuuawa au kanisa kuchomwa ila kesho watapiga shule ambayo hata kijana wako anasoma, watalipua majengo ya biashara ambayo yanashiriki kukupa kipato, watalipua ofisi, masoko nk, ambayo athari yake haiangalii dini!
Ugaidi ni wa kupingwa kwa nguvu zote bila kuangalia dini!
Ugaidi ilikuwa ni upepo ushapita kama ilivyo corona nayo itapita tu
 
Wajilaumu wao wenyewe kwa kuendesha harakati haramu zilizosababisha mashehe,mapadri, watalii na askari kumwagiwa rindikali/kuuawa
Double standard hizi mbona wasiojulikana kina bashite wao wanapeta tu uraiani
 
Muisilamu kutetea hao mashehe kwa kigezo cha dini, basi utakua huijui dini vizuri. Ugaidi ni ugaidi na hakuna dini inayosupport ugaidi. Magaidi wengi wanatumia kivuli cha dini ili kupata social support na justification ya uovu wao.
Ugaidi ni wa kukemewa, Leo utafurahia padri kuuawa au kanisa kuchomwa ila kesho watapiga shule ambayo hata kijana wako anasoma, watalipua majengo ya biashara ambayo yanashiriki kukupa kipato, watalipua ofisi, masoko nk, ambayo athari yake haiangalii dini!
Ugaidi ni wa kupingwa kwa nguvu zote bila kuangalia dini!
Mkuu unawaita magaidi wakati hata hukumu haijatoka? kuna masheikh kibao wanafika mia moja na kitu mbali na hao wa Zanzibar nao wote wamekamatwa kwa tuhuma hizo hizo za ugaidi ila kesi zinazungushwa tu, kuna muda ilikuwa hata kuwa na ndevu na kuvaa kanzu unajiweka kwenye hatari ya kukamatwa muda wowote.
 
Nchi kama China, Japan wanajifunzia wapi Karate na Shaolin? Kwenye temple au maeneo mengine.
Elewa kwanza karate ni mchezo kama michezo mengine na upo kwa ajili ya kukujengea self defence, na kiuhalisia anajua hiyo michezo, kwanza hawi mshari na wala hapendi ugomvi.
Kwani jamaa anataka kusema kwamba magaidi hutumia karate kufanya ugaidi?
 
Back
Top Bottom